Mbumbumbu kabisa huyo!madai ya madaktari siyo pesa tu..hivyo kulinganisha mishahara na nchi nyingine ni kuupotosha umma..
Naona unataka kupotosha uma, kwa hapa TZ usilinganishe malipo ya fani nyingine kutoka Private Sectors utakuwa hauna ulinganisho wa kweli. Swala ni kwamba, kwa wafanyakazi wa kawaida Serikalini kwa fani zote, bado Doctors wanalipwa juu ya wengine woote! Unabisha????. Na kubaliana na wewe Madaktari wanalipwa vizuri, lakini kwa taarifa yako, siyo kwamba hata Marekani Madaktari ndo wanaongoza kwa kulipwa, labda kama unaangalia sector ya umma. Kumbuka sector binafsi marekani inalipa mbaya! Usilinganishe huko mbali sana.
Weka ulinganisho na nchi za Africa Mashariki, wewe unakimbilia Marekani, hiyo ni dunia nyingine. ''The problem is, you are too ambitious''.
NIKUULIZE SWALI, SECTOR HOSPITALI BINAFSI KAMA AGA KHAN, TMJ, HINDU MANDAL DAKATRAI ANAEANZA KAZI ANALIOPWA SH. NGAPI? ...NAOMBA HII UNIJIBUI
MY TAKE
TATIZO HAPA NI MFUMO WA MALIPO YA WAFANYAKAZI KWA UJUMLA SERIKALINI, WANASIASA WANAJILIPA PESA NYINGI SANA KULIKO PROFESSIONALS, HILI NDO TATIZO, HATA KAMA WAKIONGEZA KWA MADAKTARI, KESHO WATAIBUKA NA SECTOR NYINGINE. SERIKLI INABIDI IKUBALI KWAMBA, HUU NI MUDA WA KUANGALIA MALIPO BORA KWA PROFESSIONALS NA SI WANASIASA, WASIPOFANYA HIVYO KITANUKA ZAIDI YA HAPA!
Yawezekana sikujieleza vizuri. Nilipolinganisha sikuwa na maana ya kujumuisha private sector , nililenga public. Nimependa ulivyofafanua - hicho ndicho nilichotaka kusema kuwa mfumo wetu hauangalii kada nyeti katika malipo. [/COLOR]
Ni vema ukalinganisha sector za afya za nchi ya Tanzania na jirani zetu Kenya, uganda tu .
well said for the serious, conscious and pragmatic minds But not for greedy and the egocentricNaona mnafananisha Simba na Paka.
1. Daktari wa majuu anasoma kwa mkopo (mfano OSAP) akimaliza masomo analipa mkpo wake
2. Daktari wa majuu yupo dedicated hata saa saba usiku anakurupuka kwenda kutibia akihitajika.
3. Daktari wa majuu haweki tamaa mbele na haruhusiwi kugoma.
4. Daktari wa majuu anapenda kazi yake hatibii kama kazi anakuwa na passion, kama anamtibia mtoto mdogo basi ata m handle huyo mtoto kama ni wakumzaa mwenyewe.
Kule kwa wenzetu kazi ya udaktari ni wito kweli kweli na hata hizo pesa wanazolipwa ni ndogo sana kulinganisha na utendaji wao, na wao wamefundishwa kuokoa maisha popote pale walipo hata asipokuwa kazini akiona sehemu ujuzi wake unahitajika hata barabarani atatoa huduma bila kuuliza kwanza malipo au daftari la kusaini.
Acheni kufananisha Simba na Paka.
naona mnafananisha simba na paka.
1. Daktari wa majuu anasoma kwa mkopo (mfano osap) akimaliza masomo analipa mkpo wake
2. Daktari wa majuu yupo dedicated hata saa saba usiku anakurupuka kwenda kutibia akihitajika.
3. Daktari wa majuu haweki tamaa mbele na haruhusiwi kugoma.
4. Daktari wa majuu anapenda kazi yake hatibii kama kazi anakuwa na passion, kama anamtibia mtoto mdogo basi ata m handle huyo mtoto kama ni wakumzaa mwenyewe.
Kule kwa wenzetu kazi ya udaktari ni wito kweli kweli na hata hizo pesa wanazolipwa ni ndogo sana kulinganisha na utendaji wao, na wao wamefundishwa kuokoa maisha popote pale walipo hata asipokuwa kazini akiona sehemu ujuzi wake unahitajika hata barabarani atatoa huduma bila kuuliza kwanza malipo au daftari la kusaini.
Acheni kufananisha simba na paka.
| [TABLE="class: tlf f11 w600, width: 600"] [TR="class: f9"] [TH="class: w220"]Hospital Setting[/TH] [TH="class: w100"]National Salary Data (?)[/TH] [TD="class: w81 c6"]$0 |
Very poor comparison! Mishahara hapa kwetu "Govt Salary Scales" iko chini toka kwa mfagizi hadi juu ukilinganisha na nchi nyingi zilizoko duniani. Halafu mbaya zaidi unafanya mlinganisho na nchi ya Marekani, ambao wametupiga gap ambalo hata miaka 50 ijayo hatuwezi kuwafikia kwa lolote. Nakerwa sana na threads kama hizi, kama ningeweza kuota kilichoandikwa ndani ya thread wala nisingekuwa nafungua.