Kiumbe duni
Senior Member
- Dec 3, 2011
- 100
- 8
Si lazima kulipia ndugu......
Dstv siku hizi kila kukicha wanapandisha gharama ya malipo ya king'amuzi chao, je kampuni hii imeshakuwa ya kifisadi? Kwa sasa malipo yamefikia shilingi 180,000/: kwa mwezi, huu c unyonyaji! Hawaoni kwamba tunawafanyia Kazi wao, ama kweli kaburu ni kaburu hata ukimpaka rangi habadiliki. Wadau nauliza hakuna mamlaka inayoweza kuzibiti unyonyaji huu?. Nawasilisha.
sasa ataangalia bure......?
Tena wanalazimisha malipo yafanyike kwa dola ya kimarekani. Kwao Africa Kusini kila kitu ni kwa Randi yao. Biashara ya Balozi Ami Mpungwe na wenzake. Haiguswi.
Mwambie mbunge wako .... gharama za maisha zimepanda. the highest charge for DSTV is $88 PREMIUM DUAL VIEW hiyo laki themanini umelipa wapi?
Mwambie mbunge wako .... gharama za maisha zimepanda. the highest charge for DSTV is $88 PREMIUM DUAL VIEW hiyo laki themanini umelipa wapi?
Si lazima kulipia ndugu......
Ni kweli ndio maana nimeamua malipo niliyolipia yakiisha tu naachana na biashara ya utumwa ya kuchangia makaburu.
Nawashauri mtafute vishoka.......unaangalia bure mwaka mzima
sio lazima kuangalia bure......he he he.....
Nawashauri mtafute vishoka.......unaangalia bure mwaka mzima
Thanks a lot my friend, kwa ushauri mzuri. Nasikia siku hizi watu wengi wanakamua free, hebu niambie hao vishoka wanatoza kiasi gani?