Malipo ni hapa hapa duniani (Nimeamini)

Malipo ni hapa hapa duniani (Nimeamini)

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,963
Siku moja nikiwa katika sagari zangu za hapa na pale kutoka mkoa mmoja kuelekea mkoa mwengine, nikiwa katika basi la abiria, pembeni nilikaa na dada mmoja ambaye alikuwa na mtoto wa umri kama wa miaka mitatu hivi.

Kutokana na umbali wa safari, dada yule alionesha kuchoshwa/alichoshwa na kumpakata yule mtoto. Kutokana na huruma zangu ambazo nimejaaliwa na Muumba nikaona nimsaidie yule mtoto na kumpakata mimi. Mdada wawatu alifurahi sana na hapo tukaanza mawasiliano ama mazungumzo ya hapa na pale. Mwisho wa siku tukabadilishana namba.

Kwakuwa tulikuwa tunakwenda sehemu / mji mmoja na kule tulikokuwa tunakwenda kila mtu alikuwa ni ugenini, basi hii ilipelekea baada ya kufika nianze kuchati naye na hatimaye kuanza kushawishiana dhidi ya suala la kutakana kimapenzi. Na kweli ulipofika usiku kama mida ya saa mbili hivi kila mmoja uzalendo ulimshinda na kuanza kusakana na kufanya mambo ambayo kwa lugha nyepesi tunaweza kusema kuwa ni ZINAA.

TWENDE KWENYE POINT.
Miezi kadhaa iliyopita, demu wangu ambaye nakaa naye na nimezaa naye mtoto mmoja (ana miaka miwili na nusu sasa) alisafiri kuelekea mjini kwao.

Kutokana na umbali wa kule ambako alikuwa anakwenda, kwa kawaida hua anaposafiri ni lazima alale njiani. na siku ya pili ndio hufika huko (kwao)

kilichonitisha.
Ni kwamba naye njiani (kwenye basi) alikutana na msamaria mwema mmoja /kidume na kikawa kinamsaidia kumpakata mtoto. Wakati huo ananitumia ujumbe akisema "Kuna mkaka mwaya nashukuru amenisaidia mtoto maana nilichoka kweli"

Nikasema ama kweli
Malipo ni hapa hapa duniani. Maana hapo lazima jamaa amekwenda kujipigia vyombo tu kwa demu wangu. Lakini nitafanyaje sasa?

UJUMBE.
vIJANA wenzangu, tujitahidi kuacha zinaa, kwani malipo yake ni hapa hapa duniani kwanza kabla ya kufika kesho kwa Mungu kufanyiwa CONCLUSION.

NAWASILISHA.
 
Acha wenge zinaa sio nzuri ndio ila nishasema kua, the world is not fair sometimes, unaweza wewe usifanye na ujitunze na bado ukatendewa tofaut na ulivyotegemea and viceversa. Hivyo dudubaya anasema live your life.
 
Sawa mkuu
 
wewe Dada uliochukua boksi langu nililohifadhia mmea au jani also know as bang Licha ya kujua ndani kuna nini na ukaamua kulibeba geto ukaenda lichoma moto nakuchukia mpaka kifo malipo ni hapa hapa duniani sio Kwa dhuluma hyo

BACK TO YOUR TOPIC
ni kweli mkuu malipo ni hapa hapa dunia karma ni jibwa jike tuwe tunaangalia mienendo yetu
 
Ha ha ha
 
Hahaha, pole sana mkuu!

Jani mmea uliotukuka unachomwa hovyo hovyo, umetuleti dauni sana wala Jani.
 
wewe Dada uliochukua boksi langu nililohifadhia mmea au jani also know as bang Licha ya kujua ndani kuna nini na ukaamua kulibeba geto ukaenda lichoma moto nakuchukia mpaka kifo malipo ni hapa hapa duniani sio Kwa dhuluma hyo

BACK TO YOUR TOPIC
ni kweli mkuu malipo ni hapa hapa dunia karma ni jibwa jike tuwe tunaangalia mienendo yetu
Hahahaaah pole sana.
 
Siku moja nikiwa katika sagari zangu za hapa na pale kutoka mkoa mmoja kuelekea mkoa mwengine, nikiwa katika basi la abiria, pembeni nilikaa na dada mmoja ambaye alikuwa na mtoto wa umri kama wa miaka mitatu hivi.

Kutokana na umbali wa safari, dada yule alionesha kuchoshwa/alichoshwa na kumpakata yule mtoto. Kutokana na huruma zangu ambazo nimejaaliwa na Muumba nikaona nimsaidie yule mtoto na kumpakata mimi. Mdada wawatu alifurahi sana na hapo tukaanza mawasiliano ama mazungumzo ya hapa na pale. Mwisho wa siku tukabadilishana namba.

Kwakuwa tulikuwa tunakwenda sehemu / mji mmoja na kule tulikokuwa tunakwenda kila mtu alikuwa ni ugenini, basi hii ilipelekea baada ya kufika nianze kuchati naye na hatimaye kuanza kushawishiana dhidi ya suala la kutakana kimapenzi. Na kweli ulipofika usiku kama mida ya saa mbili hivi kila mmoja uzalendo ulimshinda na kuanza kusakana na kufanya mambo ambayo kwa lugha nyepesi tunaweza kusema kuwa ni ZINAA.

TWENDE KWENYE POINT.
Miezi kadhaa iliyopita, demu wangu ambaye nakaa naye na nimezaa naye mtoto mmoja (ana miaka miwili na nusu sasa) alisafiri kuelekea mjini kwao.

Kutokana na umbali wa kule ambako alikuwa anakwenda, kwa kawaida hua anaposafiri ni lazima alale njiani. na siku ya pili ndio hufika huko (kwao)

kilichonitisha.
Ni kwamba naye njiani (kwenye basi) alikutana na msamaria mwema mmoja /kidume na kikawa kinamsaidia kumpakata mtoto. Wakati huo ananitumia ujumbe akisema "Kuna mkaka mwaya nashukuru amenisaidia mtoto maana nilichoka kweli"

Nikasema ama kweli
Malipo ni hapa hapa duniani. Maana hapo lazima jamaa amekwenda kujipigia vyombo tu kwa demu wangu. Lakini nitafanyaje sasa?

UJUMBE.
vIJANA wenzangu, tujitahidi kuacha zinaa, kwani malipo yake ni hapa hapa duniani kwanza kabla ya kufika kesho kwa Mungu kufanyiwa CONCLUSION.

NAWASILISHA.
Aisee! Umenikumbusha Da'mkubwa aliyeelemewa na usingizi nikampakata usiku kucha kwenye train, alikuwa kanona ila nilimwogopa
 
Mkuu huyo jamaa ndo mimi....!!usiwaze sanaa... Mimi ni msamaria mwema..
 
Back
Top Bottom