Hii ni kwenye kale ka mshahar kako kale ka juuuwakuu habari zenu .
naomba msada wenu nataka kujua haya makato yao ya mkopo w elimu ya juu. hiyo 15 per cent yao wanayoitaka je unatakiwa uikate katika net ya mshahara wako unao pokea? ..au mshahara wako wajuu kabisa kabla ya makato? asanteni
Basic salary ndo mimi nakatwa hiyo asilimia 15Kwenye Gross boss.