Malinzi kama Jecha vile

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Ama kwa hakika hii nchi ina wazee wenye busara sana kazi imebaki kwetu tu kwenda kuchota busara hizo,baada ya mzee Jecha kufanya kitu flani amaizing kule zenji, leo Jamal malinzi wa Tff aliamua kufuta matokeo ya 4-0 na kuwapa somalia magoli manne hivyo ikawa 4-4.
wakati mwingine busara na hekima hutumika,sheria na katiba tupa kule.
 

Attachments

  • 20151122073237.jpg
    80.1 KB · Views: 423
Hii mechi imechezwa lini..na ina maana tumetoka 4-4 na Somalia? Nchi ambayo haina hata soccer professional league!
 
Kwa misingi ipi?? hiyo ni typo bwana
 
Hii mechi imechezwa lini..na ina maana tumetoka 4-4 na Somalia? Nchi ambayo haina hata soccer professional league!

tumeshinda 4-0 sema busara za Jecha zimetumika ikafanywa 4-4
 
Duh hyo nayo kali niko nacheka peke yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…