Malinzi hili uonekane shujaa

Blandes

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
401
228
Hakika jana yaliyojiri ktk kufunga pazia ya ligi yanauzunisha sana kwa soka letu, bila kupindisha maneno ktk mechi ya JKT Ruvu na Stand United kuna mambo ya rushwa yatakuwa yanausika kuibeba Stand.

Ushauri wangu kwako rais futa hayo matokeo mechi irudiwe uwanja huru na marefa wapewe adhabu kali
 
Aisee kweli kabisa hiyo mechi inapaswa kurudiwa kwenye uwanja huru kabisa. Ila kwa bongo sijui tusubiri tuone.
 
Hakika jana yaliyojiri ktk kufunga pazia ya ligi yanauzunisha sana kwa soka letu, bila kupindisha maneno ktk mechi ya JKT Ruvu na Stand United kuna mambo ya rushwa yatakuwa yanausika kuibeba Stand.

Ushauri wangu kwako rais futa hayo matokeo mechi irudiwe uwanja huru na marefa wapewe adhabu kali

Inaelekea wewe ndo Masau Bwire teh teh Mbona mnatuwaza sana chama la wana!! Ya Ndanda hujaona??
Huyu ndio Abasarim Chdiabere ! Masau Bwire akimuona anakimbia
 
Attachments

  • 1431398691864.jpg
    1431398691864.jpg
    110.8 KB · Views: 103
Dua la kuku halimpati mwewe
Stand United chama la wana!! Yes! Yes! Yes! Stand we United
 
Back
Top Bottom