Nimeshtuka sana leo asubuhi, baada ya kusikia taarifa katika kituo cha RFA kipindi cha MATUKIO -michezo kuwa Jamal Malinzi Rais wa TFF atatoa pesa zake mfukoni kufidia malipo ya kukatisha mkataba wa Kocha wa timu ya taifa ndugu Poulsen.
Hapa ndo naanza kuona harufu ya ufisadi hapa na kwa sababu [MENTION]J Malinzi[/MENTION] yuko humu basi ntamuomba aje kutoa ufafanuzi wa yafuatayo.
- Ukiwa kama Rais wa TFF, Je shirikisho lina mgogoro wa kifedha kiasi kwamba haliwezi kabisa kulipa fidia hiyo?
- Je huoni kwamba unatujemgea wasiwasi kua unajenga mazingira ya kujilipa hapo baadaye, tena zaidi kwa njia zisizo halali?
- Je hii sio njia ya kuwa intimidate viongozi wengine ili waogope kuhoji baadhi ya matumizi yako ya pesa kwa kuwa tu umeanza na visingizio vya kutumia pesa zako Binafsi.
- Je huoni kuwa hii ni conflict of interest?? Kwa nini utumie Pesa yako tena bila kuutangazia uma ni kiasi gani wakati shirikisho lina uwezo wa kulipa pia
- kama kweli una nia hiyo thabiti, kwa nini msiwatangazie wana michezo kiasi halisi unachojitolea wewe mfukoni mwako... na kiasi anachodai Poulsen
Ndugu malinzi, kwa watu wanaofanya "critical thinking" hii ni njia mojawapo inayotumiwa ni viongozi kujenga mazingira ya UFISADI hapo baadaye.
Tunakumbuka miaka ta tisini "CCM" iishindwa kuwalipa watumishi wake mikoani kwa takribani miezi sita, mpaka ROSTAM AZIZ alipojitolea pesa zake mfukoni na kuipa CCM ili iwalipe watumishi (nilikua pia CCM wakati huo so najua hili) lakini wote tunajua jinsi gani alijilipa hizo pesa na zaidi. mifano ya namna hii ni mingi sana
Tupe hoja zako, unajipambanuaje katika hili??la sivyo ni kujenga mazingira ya ufisadi tuuu
Kasema yeye na wadau wapenda soka wanajitgolea kumlipa paulsen,jamani watanzania tuache maneno maneno jutifunze kujitolea ni kweli tff kifedha aipo vizuri na paulsen anadai 160,000,000 toa basi njia mbadala wa kupata pesa ya kumfidia sio kueneza majungu
Kila cku mi nasema malinzi ni mbabaishaji lkn majitu mabishi,yaani anairudisha TFF ya ndolanga. Mi namshauri akajishughulishe na golf
Nimeshtuka sana leo asubuhi, baada ya kusikia taarifa katika kituo cha RFA kipindi cha MATUKIO -michezo kuwa Jamal Malinzi Rais wa TFF atatoa pesa zake mfukoni kufidia malipo ya kukatisha mkataba wa Kocha wa timu ya taifa ndugu Poulsen.
Hapa ndo naanza kuona harufu ya ufisadi hapa na kwa sababu Jamal Malinzi yuko humu basi ntamuomba aje kutoa ufafanuzi wa yafuatayo.
- Ukiwa kama Rais wa TFF, Je shirikisho lina mgogoro wa kifedha kiasi kwamba haliwezi kabisa kulipa fidia hiyo?
- Je huoni kwamba unatujemgea wasiwasi kua unajenga mazingira ya kujilipa hapo baadaye, tena zaidi kwa njia zisizo halali?
- Je hii sio njia ya kuwa intimidate viongozi wengine ili waogope kuhoji baadhi ya matumizi yako ya pesa kwa kuwa tu umeanza na visingizio vya kutumia pesa zako Binafsi.
- Je huoni kuwa hii ni conflict of interest?? Kwa nini utumie Pesa yako tena bila kuutangazia uma ni kiasi gani wakati shirikisho lina uwezo wa kulipa pia
- kama kweli una nia hiyo thabiti, kwa nini msiwatangazie wana michezo kiasi halisi unachojitolea wewe mfukoni mwako... na kiasi anachodai Poulsen
Ndugu malinzi, kwa watu wanaofanya "critical thinking" hii ni njia mojawapo inayotumiwa ni viongozi kujenga mazingira ya UFISADI hapo baadaye.
Tunakumbuka miaka ta tisini "CCM" iishindwa kuwalipa watumishi wake mikoani kwa takribani miezi sita, mpaka ROSTAM AZIZ alipojitolea pesa zake mfukoni na kuipa CCM ili iwalipe watumishi (nilikua pia CCM wakati huo so najua hili) lakini wote tunajua jinsi gani alijilipa hizo pesa na zaidi. mifano ya namna hii ni mingi sana
Tupe hoja zako, unajipambanuaje katika hili??la sivyo ni kujenga mazingira ya ufisadi tuuu
Kasema yeye na wadau wapenda soka wanajitgolea kumlipa paulsen,jamani watanzania tuache maneno maneno jutifunze kujitolea ni kweli tff kifedha aipo vizuri na paulsen anadai 160,000,000 toa basi njia mbadala wa kupata pesa ya kumfidia sio kueneza majungu
Kasema yeye na wadau wapenda soka wanajitgolea kumlipa paulsen,jamani watanzania tuache maneno maneno jutifunze kujitolea ni kweli tff kifedha aipo vizuri na paulsen anadai 160,000,000 toa basi njia mbadala wa kupata pesa ya kumfidia sio kueneza majungu
Kila cku mi nasema malinzi ni mbabaishaji lkn majitu mabishi,yaani anairudisha TFF ya ndolanga. Mi namshauri akajishughulishe na golf
tff ya tenga ilijitahidi kumwepuka malinzi jamaa zake wote wakanyanyua magongo kutaka kumponda kichwa tenga. Malinzi ni fisadi na ameanza kujenga mazingira ya kuchanganya mali zake na tff kwa lengo la kuibinafsisha tff. Misingi ya utawala bora 'good governance/corporate governance' haikubaliani kabisa na jinsi malinzi anavyotaka kuendesha tff.Nimeshtuka sana leo asubuhi, baada ya kusikia taarifa katika kituo cha RFA kipindi cha MATUKIO -michezo kuwa Jamal Malinzi Rais wa TFF atatoa pesa zake mfukoni kufidia malipo ya kukatisha mkataba wa Kocha wa timu ya taifa ndugu Poulsen.
Hapa ndo naanza kuona harufu ya ufisadi hapa na kwa sababuJamal Malinzi yuko humu basi ntamuomba aje kutoa ufafanuzi wa yafuatayo.
- Ukiwa kama Rais wa TFF, Je shirikisho lina mgogoro wa kifedha kiasi kwamba haliwezi kabisa kulipa fidia hiyo?
- Je huoni kwamba unatujemgea wasiwasi kua unajenga mazingira ya kujilipa hapo baadaye, tena zaidi kwa njia zisizo halali?
- Je hii sio njia ya kuwa intimidate viongozi wengine ili waogope kuhoji baadhi ya matumizi yako ya pesa kwa kuwa tu umeanza na visingizio vya kutumia pesa zako Binafsi.
- Je huoni kuwa hii ni conflict of interest?? Kwa nini utumie Pesa yako tena bila kuutangazia uma ni kiasi gani wakati shirikisho lina uwezo wa kulipa pia
- kama kweli una nia hiyo thabiti, kwa nini msiwatangazie wana michezo kiasi halisi unachojitolea wewe mfukoni mwako... na kiasi anachodai Poulsen
Ndugu malinzi, kwa watu wanaofanya "critical thinking" hii ni njia mojawapo inayotumiwa ni viongozi kujenga mazingira ya UFISADI hapo baadaye.
Tunakumbuka miaka ta tisini "CCM" iishindwa kuwalipa watumishi wake mikoani kwa takribani miezi sita, mpaka ROSTAM AZIZ alipojitolea pesa zake mfukoni na kuipa CCM ili iwalipe watumishi (nilikua pia CCM wakati huo so najua hili) lakini wote tunajua jinsi gani alijilipa hizo pesa na zaidi. mifano ya namna hii ni mingi sana
Tupe hoja zako, unajipambanuaje katika hili??la sivyo ni kujenga mazingira ya ufisadi tuuu
Kwenye ile thread yake nilimuuliza alifuata nini kwa Lowassa na hajajibu mpaka leo.............mbabaishaji tu.......unamuondoa Paulsen na kumpa timu Madadi?
Zipo sababu kwa nini alipe kwa less take: yeye ndo ameomba kuvunja mkataba name Paulsen wala TFF. Lambda hoja ingekuwa kwanini ameomba kuvunja mkataba
Soka inajumuisha wadau wengi na ni kivutio cha wengi mkuu. Ndoano ni yeye,chambo ni soka na samaki ni wapenda soka!!!!!!Nani anapenda samaki????!!!!
Toka lini LOWASSA akawa mdau wa soka? Monduli hata uwanja wa mpira hakuna acha timu.........Arusha hakuna timu kwenye VPL