Malindi is now bigger than Tanga

Malindi is now bigger than Tanga

Hatuna hii barabara Tanga, labda ni kutoka vijijini, Tanga Horohoro is better than Nairobi to Namanga
Mbona hujaambia mwenzako hii pia ni ya vijijini?

2192206_1571906957881.png
 
Tunasubiri barabara ya Malindi to Mombasa, usipoleta endelea kukaa kimya milele, hapo ndio utajua kwamba Tanzania sio level yenu.
Mimi nangoja tu ya Tanga - Hohehahe ama ni Harahara............ukinionyesha nakuonyesha ya Malindi immediately.
 
Mimi nangoja tu ya Tanga - Hohehahe ama ni Harahara............ukinionyesha nakuonyesha ya Malindi immediately.
Inaonyesha umekunywa chang'aa mchana huu, nimeweka Mara mbili, wewe ulikua wapi?, soma posts #42. &43
 
Uwe na Akili walau kidogo
Mbona jinga sana wewe asa umeandika kitugani!!!

Huyu hawezi akawa na akili sawa, wee unafikiri kupigwa marufuku kwa Dili lake la ARV FAKE unafikiri mchezo.
Halafu wife wake OUT OF PUBLIC SERVICE KWA VYETI FAKE.
Hata hapa anajitahidi sana.
 
Back
Top Bottom