NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,371
- 19,786
- Thread starter
- #61
Inaonyesha umekunywa chang'aa mchana huu, nimeweka Mara mbili, wewe ulikua wapi?, soma posts #42. &43
Inaonyesha umekunywa chang'aa mchana huu, nimeweka Mara mbili, wewe ulikua wapi?, soma posts #42. &43
Lungàlunga haipo Mombasa, section ya Mombasa ukunda ni nzuri Sana haina tatizo ,labda ukunda hadi lungàlunga ndio kidogo Unahitaji kupanuliwa.Wekeni barabara yenu ya Mombasa to Lungalunga. Hahahaha, Hahahaha.
Tanga horohoro hii hapa
MALINDI WATERFRONTHuyu hawezi akawa na akili sawa, wee unafikiri kupigwa marufuku kwa Dili lake la ARV FAKE unafikiri mchezo.
Halafu wife wake OUT OF PUBLIC SERVICE KWA VYETI FAKE.
Hata hapa anajitahidi sana.
MALINDI WATERFRONT
Unajua hii tabia ya kuweka picha bila kuthibitisha kwamba hiyo barabara ni Mombasa Malindi, ninaweza kuokota picha za Uingereza au South Afrika nikaweka hapa na kukuambia hapo ni Tanzania.
Sawa boss. Hiyo ni ya Germany. 😂😂Unajua hii tabia ya kuweka picha bila kuthibitisha kwamba hiyo barabara ni Mombasa Malindi, ninaweza kuokota picha za Uingereza au South Afrika nikaweka hapa na kukuambia hapo ni Tanzania.
Umeona hiyo link niliyokuwekea, haina maswali, ni link inazungumzia kuhusu barabara ya Tanga Horohoro na picha imewekwa.
Tafadhali kama huna link, au huna ushahidi , bora useme huna kuliko kuokota picha, ninakuhakikishia hizi picha, sio barabara ya Mombasa Malindi, umedangaya kama kawaida yenu mambo yanapokuwa magumu upande wenu