Malikia wa Nguvu 2024: Flavian Matata ni malikia wa Nguvu na wa Heshima

Bas hili ni tatizo katika mifumo yetu ya kiuongozi.
Maana huwez niambia mkuu wa wilaya au hata mwenyekitu wa kijiji tu akshindwa ku mobile watu wafanye fund rising ili kuboresha mazingira ya watoto. Kama watu wanachangia ujenzi wa makanisa na misikiti iweje haya yashindikane?
Mkuu ni kuwa may be hujazunguka huko, Tanzania ni kubwa saana, Wananch wanajitolea saaana, wanaazisha ujenzi wa madarasa, nyumba za walimu vyoo etc lakini hii haimanishi kuwa nguvu na jitihada za Wadau wengine hazihitajiki, nguvu za Wadau wengine katika kuendeleza sekta ya Elimu, Afya bado zinahitajika na zinaendelea kuhitajika Duniani kote
 
Back
Top Bottom