Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,119
- 173,952
10% ya pesa yako ni uhakika kila mwaka!mkuu msaada kidogo. Tuseme niwekeze kwenye fixed deposit na Government bonds dollars za kimarekani million moja faida nitapata ngapi baada ya mwaka?
10% ya pesa yako ni uhakika kila mwaka!mkuu msaada kidogo. Tuseme niwekeze kwenye fixed deposit na Government bonds dollars za kimarekani million moja faida nitapata ngapi baada ya mwaka?
Ugomvi unakuja sababu ya mgongano wa maslahi😂!!!Nadhani sisi waafrika tujifunze jambo. Tuandae mfumo wa kuendeleza biashara hata baada ya waanzilishi kufariki. Kwanini makampuni ya wazungu, waarabu, wahindi yanasonga mbele baada ya mmiliki kufa lakini kwetu imekuwa mtihani?
Yaani mmiliki akufariki ni ugomvi mwanzo mwisho wakigombea kugawana mali na sio kuendeleza.
Hili deni iwapo wangeamua kutulia na kuwa na mpango wa kulilipa wangeweza ila ndio hivyo wote walikuwa wanawaza kuchuma tu na kuweka kwenye mifuko binafsi. Sisi ni wabinafsi sana.
Hili lilitaka kutokea kwa Mengi pia.
Asante mkuu. Am so much determined to get to that one million dollars. And when I get it al be so much strict on how to invest on it.10% ya pesa yako ni uhakika kila mwaka!
Inaelekea hii familia pasua sanaWanadai billion 1.3
Wanauza viwanja 16,17,18 19,20,21,22 na 23 na kupata billion 2.65
Kwa nini wasitafute viwanja kadhaa vitakavyo leta pesa billion 1.6 wakalipa madeni Mali zingine wakawaachiwa wana Family.
Kwa hyo ukiwa na milion mia tatu ukapoteza milion Kumi hautaumia ndugu. Chako ni chako wanahak ya Kulia na kusikitika Kwan wanepoteza sehemu ya Mal yaoBado familia ina mali nyingi wanalia lia nini? Wangefilisiwa kabisa wasibaki hata na baiskeli si wangekufa.
Mkuu kumbuka hawadhulumiwi bali wanalipa stahiki za wafanyakazi ambao hawakulipwa muda mrefu.Kwa hyo ukiwa na milion mia tatu ukapoteza milion Kumi hautaumia ndugu. Chako ni chako wanahak ya Kulia na kusikitika Kwan wanepoteza sehemu ya Mal yao
Mh! Haujaongea kinyume kweli!Bora mtu uwekeze kwenye fixed diposit au bond za serikali maana kuendesha kampuni kikwetu kwetu bado sana.JPM alimponda sana abood kwa kufanya godonw kiwanda lakini kiukweli kuendesha kampuni si lele mama.
Yule mwenye ako catering?Kanunua mbunge wa kibaha,huyo edmund ni mwanae koka