Familia imejaa wajinga. Pale pale mwendazake alivyokufa wangekaa Kama kitu kimoja na kuendesha biashara za marehemu. Wakachagua each for himself.Wanadai billion 1.3
Wanauza viwanja 16,17,18 19,20,21,22 na 23 na kupata billion 2.65 .
Kwa nini wasitafute viwanja kadhaa vitakavyo leta pesa billion 1.6 wakalipa madeni . Mali zingine wakawaachiwa wana Family.
Acha ziuzwe. Utakuta wengine si muda mrefu utawaona wanatafuta kazi hapo hapo Kijiji Arusha.