Roho Mbaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 777
- 670
Na wewe tajiri uchwara umepatia wapi?Ooh! Mbwa kala mbwa, hakika hakuna marefu yasiyo na ncha. Hata Mathayo (mbunge wa musoma mjini) hotel yake ya Matvilla anauza sasa najiuliza mji huu matajiri wake wamekosea wapi?
Hahha nishakuambia rudi tanzania nikulipe mshahara achana na pombe na sigara kali za mabeberu 😜😜Na wewe tajiri uchwara umepatia wapi?
anauza Tsh ngapi nijipige pige hapa😅 ila huyo jamaa alikuwa na pesa sanaOoh! Mbwa kala mbwa, hakika hakuna marefu yasiyo na ncha. Hata Mathayo (mbunge wa musoma mjini) hotel yake ya Matvilla anauza sasa najiuliza mji huu matajiri wake wamekosea wapi?
Afadhali huyo kuliko yule aliye mahabusu kw laki 6Jinga kabisa unachukua mkopo wa benki halafu unatumia sehemu ya mkopo kufadhili mambo ya kimpumbavu (chama chake); acha afilisiwe.
Afadhali huyo kuliko yule aliye mahabusu kw laki 6
DuAiseee walikusanya wee saiv zamu ya kuzirudisha
Anaiuza Matvilla kwa milioni 700 tu najiuliza ni kipi hasa kilichomkuta huyu Tajiri Vedastus Mathayo Mbunge wa Musoma mjini..anauza Tsh ngapi nijipige pige hapa😅 ila huyo jamaa alikuwa na pesa sana
Hapo inategemea hela zake alizipataje?Anaiuza Matvilla kwa milioni 700 tu najiuliza ni kipi hasa kilichomkuta huyu Tajiri Vedastus Mathayo Mbunge wa Musoma mjini..
View attachment 2136025
Alikuwa na vituo vya mafuta pia vya HASS na kiwanda cha maziwa mara milk bado najiuliza imekuaje ukwasi umeyeyuka fasta ama mikopo ya benki imemlaza na viatuHapo inategemea hela zake alizipataje?
Ova