NyotaMalaika
Senior Member
- Aug 6, 2012
- 167
- 77
Watu wenye silaha wameua takribani wafugaji 134 toka kabila la Fulani, katika shambulio la kikabila
Mauaji yametokea katika vijiji vya Ogossagou na Welingara huku Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likiwa limetembelea Mali ili kupata suluhu ya machafuko yaliyosababisha vifo vya mamia ya raia mwaka jana
Meya wa mji wa karibu wa Bankass anasema watu wenye silaha wakiwa wamevaa mavazi ya kitamaduni ya wawindaji wa Donzo walizunguka kijiji cha Ogossagou saa 10 alfajiri
Miili 134 ikiwemo ya wazee, wanawake na watoto imepatikana kijijini Ogossagou na idadi ya waliofariki katika kijiji cha Welingara bado haijafahamika
Mashambulizi ya aina hii yanadaiwa kuchochewa na vikundi vya kigaidi vyenye uhusiano na Al-Qaeda ambavyo vinatumia mwanya huo kupata vijana wenye hasira kujiunga nao