Mali: Wafugaji 134 wauawa, Al-Qaeda wahusishwa

NyotaMalaika

Senior Member
Aug 6, 2012
167
77
Watu wenye silaha wameua takribani wafugaji 134 toka kabila la Fulani, katika shambulio la kikabila

Mauaji yametokea katika vijiji vya Ogossagou na Welingara huku Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likiwa limetembelea Mali ili kupata suluhu ya machafuko yaliyosababisha vifo vya mamia ya raia mwaka jana

Meya wa mji wa karibu wa Bankass anasema watu wenye silaha wakiwa wamevaa mavazi ya kitamaduni ya wawindaji wa Donzo walizunguka kijiji cha Ogossagou saa 10 alfajiri

Miili 134 ikiwemo ya wazee, wanawake na watoto imepatikana kijijini Ogossagou na idadi ya waliofariki katika kijiji cha Welingara bado haijafahamika

Mashambulizi ya aina hii yanadaiwa kuchochewa na vikundi vya kigaidi vyenye uhusiano na Al-Qaeda ambavyo vinatumia mwanya huo kupata vijana wenye hasira kujiunga nao
 
Charity starts at home, Ponda's home is in Africa. Hata mimi nahitaji , siyo nahitaji , I demand Sheikh Ponda Issa Ponda atoe tamko . Kila siku ni matamko kuhusu mauaji ya wapalestina , Wasiria na sasa Christchurch Newzealand . Hatusikii mauaji yanayofanywa na Alshabab , Al Qaeda Bokoharam etc It is high time tumsikilize akilaani mauaji hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu sasa ndio ugaidi tunaoufahamu na sio ule uhalifu wa New Zealand. Sifa namba moja ya gaidi halisi ni lazima awe mzamivu wa dini kwelikweli na hufanya ugaidi kwa niaba ya au kumtetea mungu wake akiwaona wengine wote walio kinyume naye ni makafir tu. Huo ndio ugaidi.

So, in summary, ugaidi una "keywords" 3 - dini, mungu, kafir.
 
Watu wenye silaha wameua takribani wafugaji 134 toka kabila la Fulani, katika shambulio la kikabila

Mauaji yametokea katika vijiji vya Ogossagou na Welingara huku Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likiwa limetembelea Mali ili kupata suluhu ya machafuko yaliyosababisha vifo vya mamia ya raia mwaka jana

Meya wa mji wa karibu wa Bankass anasema watu wenye silaha wakiwa wamevaa mavazi ya kitamaduni ya wawindaji wa Donzo walizunguka kijiji cha Ogossagou saa 10 alfajiri

Miili 134 ikiwemo ya wazee, wanawake na watoto imepatikana kijijini Ogossagou na idadi ya waliofariki katika kijiji cha Welingara bado haijafahamika

Mashambulizi ya aina hii yanadaiwa kuchochewa na vikundi vya kigaidi vyenye uhusiano na Al-Qaeda ambavyo vinatumia mwanya huo kupata vijana wenye hasira kujiunga nao
Bikra 72 jamaa kashajipatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Charity starts at home, Ponda's home is in Africa. Hata mimi nahitaji , siyo nahitaji , I demand Sheikh Ponda Issa Ponda atoe tamko . Kila siku ni matamko kuhusu mauaji ya wapalestina , Wasiria na sasa Christchurch Newzealand . Hatusikii mauaji yanayofanywa na Alshabab , Al Qaeda Bokoharam etc It is high time tumsikilize akilaani mauaji hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mrundi ana roho mbaya sana, usikute anafanya sherehe kufurahia mauaji hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alas. Kwa matukio ya kigaidi kama haya kuna watu humu wanasoma tu vichwa kisha wanasepa.

Hata yule mama hawezi kuonyesha uso hapa atasubiri hadi asikie mzungu moja kasilimu (Hata kama ni kwa kwenda kufanya Expedition), ndio ataanzisha uzi humu na kuuchangia mwenyewe mwanzo hadi mwisho. Very hypocritical indeed.
 
Back
Top Bottom