Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,561
- 19,059
Kwa kiasi lakini mkuu na saa zingine maneno ya kumuongoza yanasaidiausimnyime mtoto kipigo
Wazazi wa kike hamkubali kabisa weakness yenu hiiHapo mshashiba wali wa msibani lazima muongee nonsense.
Wazazi wa kiume wanakuwa wapi katika malezi?
Aisee yaani umeandika nilichokuwa naenda kukiandika. Sijui kwa nini kila kitu wanatupiwa kina mamaHapo mshashiba wali wa msibani lazima muongee nonsense.
Wazazi wa kiume wanakuwa wapi katika malezi?
Siku hizi wazazi wanawapenda watoto kama property sio kama human beings. Saa nyingine inabidi kuwa tough kidogo ili mtoto awe kama binadamu wengineViboko vinafundisha sana tena saaana
Kwasababu mpo na watoto muda mwingi na nyie ndio mnadhani kumlea mtoto ni kumdumia material needs tu na sio manners na heshima na adabuAisee yaani umeandika nilichokuwa naenda kukiandika. Sijui kwa nini kila kitu wanatupiwa kina mama
Asilimia kubwa ya akina baba hatupendi ujinga ndio maana utakuta mtoto akifanya kosa mama anamwambia ngoja baba aje mtoto anaogopaAisee yaani umeandika nilichokuwa naenda kukiandika. Sijui kwa nini kila kitu wanatupiwa kina mama
Hata kama kupiga unaona vibaya kuna option ya kufinya,unamuita chemba,kama kwenye gari au nje ya pale kidogo,unamfinya sana sehemu tofauti tofauti ili ikusaidie angalau kupunguza hasira kidogo ,maana ukimuanzishia kipigo unaweza mletea madhara,watoto wetu wa Kiswahili ukiwalea kizungu wana misbehave mara mbili yake...usimnyime mtoto kipigo
Kuna community zingine kama wahindi na hata wazungu huwa hawawapigi watoto lakini the way wanavyokwenda nao mtoto anafata vile mzazi anavyotaka kutokana na culture yao, watoto wa kizungu tunavyo waona mienendo yao ni kutokana na utamaduni wa jamii nzima, tatizo ni sisi waswahili tunaotaka kuiga, na mchanganyiko wa uzungu na uswahili unatoa tabia ya ajabuHata kama kupiga unaona vibaya kuna option ya kufinya,unamuita chemba,kama kwenye gari au nje ya pale kidogo,unamfinya sana sehemu tofauti tofauti ili ikusaidie angalau kupunguza hasira kidogo ,maana ukimuanzishia kipigo unaweza mletea madhara,watoto wetu wa Kiswahili ukiwalea kizungu wana misbehave mara mbili yake...
Nakazia hapa..... Kuna jirani yangu ana mtoto hapa wa miaka kama mitano hivi toto halielewi lile jamani anamtukana mama yake mama nae anacheka tu, akimtuma kitu hataki yaani anamjibu mamake atakavyo.... Ukiona mtoto huyo anachapwa basi na babake sio mamakeWazazi wa kike wanachangia sana malezi mabovu kwa watoto. Tutamlaumu baba mtu ila kuna kipindi akiingilia kati ataambulia kauli "leba nilikua mwenyewe na manesi usinitesee mtoto" "haukunisaidia kupush" "huujui uchungu na maumivu ya kujifungua"
Akina mama wa siku hizi wanadekeza vibaya. Na zile kiss za mdomo uchafu mtupu
Nakazia hapa..... Kuna jirani yangu ana mtoto hapa wa miaka kama mitano hivi toto halielewi lile jamani anamtukana mama yake mama nae anacheka tu, akimtuma kitu hataki yaani anamjibu mamake atakavyo.... Ukiona mtoto huyo anachapwa basi na babake sio mamake
Nilimuuliza siku moja ( mama nonino) malezi gani haya unampa mtoto? Anajichekesha tu hana cha kujibu... Kwakweli wamama ndio wanaoweza kunyoosha watoto au kulemaza watoto sababu Muda mwingi wanashinda nao wao....
Kunakoelekea atatukanwa tu...Huu ni ukweli mchungu wanawake wengi hawataki kuukubali. Kisingizio cha usingo maza hakina mashiko. Malezi ya mtoto yanaanzia kwa mama kwanza
Huyo mama jirani aombe sana yasije mpata kama ya yule mama aliyetukanwa na mwanae matusi ya nguon mpaka akafariki kwa mshtuko