Malezi ya watoto wasio jiweza

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,436
2,000
Nimekuwa nikisikia rai/risala za watu wanao walea watoto wasio na uwezo (yatima etc) na kugundua kwamba,

1. Kila mmoja anataja juu ya matatizo ya fedha, hivyo anakuwa anaomba watu na taasisi mbali mbali zimsaidie kifedha

2. Mahala watoto wanapolala sio salama au chumba hakitoshi kulinganisha na idadi ya watoto husika

3. Vifaa kama vya michezo, stationery, vyakula ni tatizo

etc

Sasa huwaga nikikaa najiuliza; unaanzaje kuwachukua watoto mtaani wakati unajua hutaweza kuwahudumia? Kwa nini usitafute misaada kwanza halafu ndio ukawachukua?

Naona kama ni usaniii usanii wa kupata fedha halafu wanazitumbua wenyewe, wanawajali kweli wale watoto.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom