Malezi ya mtoto

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
121
Mtoto anamiaka 2.5 imetokea kupata maradhi ya mara kwa mara hii inatokana na turnover ya maisha ya mama na baba kuwa magumu.

Maamuzi:
mama mkwe(upande wa mme) kamchukua mtoto na kwenda kumlea.

Baba mwenye mtoto:
kutokana na mama yake kuona anashindwa kumlea mtoto yeye anashindwa kumwambia mzazi mwenzake kuwa mtoto anaenda kulewa.

Mama mwenye mtoto:
ameshitakia amenyanganywa mtoto mwenye umri wa miaka 2.5. Kazi anayofanya ni kuuza bar na huwa anamchukua kwenda nae bar.

Swali:
1: Je mtoto mwenye umri chini ya miaka 7 anaweza kuchukuliwa kwa mama kwa sababu zipi?
2: Mama mkwe yupo sahihi?
3: Ni namna gani mtoto anaweza kuchukuliwa ili kupata malezi bora?kwani wameshindwa kabisa kumlea mtoto.
Msaada kwa mdogo wangu huyu.
 

actus

Senior Member
Oct 7, 2011
104
24
Mtoto anamiaka 2.5 imetokea kupata maradhi ya mara kwa mara hii inatokana na turnover ya maisha ya mama na baba kuwa magumu.

Maamuzi:
mama mkwe(upande wa mme) kamchukua mtoto na kwenda kumlea.

Baba mwenye mtoto:
kutokana na mama yake kuona anashindwa kumlea mtoto yeye anashindwa kumwambia mzazi mwenzake kuwa mtoto anaenda kulewa.

Mama mwenye mtoto:
ameshitakia amenyanganywa mtoto mwenye umri wa miaka 2.5. Kazi anayofanya ni kuuza bar na huwa anamchukua kwenda nae bar.

Swali:
1: Je mtoto mwenye umri chini ya miaka 7 anaweza kuchukuliwa kwa mama kwa sababu zipi?
2: Mama mkwe yupo sahihi?
3: Ni namna gani mtoto anaweza kuchukuliwa ili kupata malezi bora?kwani wameshindwa kabisa kumlea mtoto.
Msaada kwa mdogo wangu huyu.

Mkuu katika msaada huo wa kisheria naomba ninukuu kifungu cha sheria inayoweza kuongoza kujibu vipengele vyote 3, kwa kutumia sections 125 (3) Law of marriage Act inayosema there is a rebuttable presumption that it is for the good of an infant to be with the mother. The younger the child, the harder it is to rebut that presumption.hapa nimekosa sheria ya kiswhili kuweza kutafsrii.lakini section hiyo inasema mama ndo anawajibu wa kukaa na mtoto wake ila pia sio lazima kama ikiweza kuthibitishwa kua hana uwezo wa kumtunza.hapa suala la uwezo linaangaliwa kwa mapana sio tu fedha.mtu anaweza kua na hela lakini akanyimwa malezi ya mtoto kwa kile wanachokiita is not for welfare of a child mahakama inaweza kuangalia kama mtoto ni wa kike au kiume kumekua na mkanganyiko ktk hili.kama ni wa kike unaweza kusema hapa lazima atunzwe na mama yake vile vile anaweza kutunzwa na mwanaume kama tu ikionekana mama ana mambo mengi hatulii hakamatiki.
lakini swala la umri pia linaangaliwa as a general rule ni kua mtoto chini ya miaka saba atatunzwa na mama yake lakini hata ili linaweza kuwa kunyume pindi pale ikionekana kwa kufuata sheria hiyo the welfare of a child might be in danger hivyo baba anaweza kumtunza mtoto.na hata akifikisha mika 7 sio lazima aende kwa baba ikionekana tu kua is not for welfare of a child.


sasa mkuu ni sababu zipi zinazoweza kufanya mtoto achukuliwe na mtu mwingine kwa ajili ya malezi na ikizingatiwa hawa wameshindwa kumlea kabisa?kwanza tujue kua Maintaining a child is always the responsibility of the parent.naomba nikupe kesi ambayo ilitoa sanbabu za kuangalia ukiweza soma yote ila nakupa held yake ni kesi ya RAMESH RAJPUT Vs Mrs. S. RAJPUT (1988) TLR 96 (Mustafa, Makawe &
Omary, JJ. A) it was held that
(i) The most important factor in custody proceedings is the welfare of the child.
(ii) An infant child of 2 years should be with the mother unless there are very strong reasons to the country.
(iii) In the circumstances of this case, no strong reasons have been advanced to rebut the presumption that an infant below the age of 7
years should be with the father.
hapa mshua alitaka kumlea mtoto lakini alishindwa kutoa sababu za msingi kuthibitisha hilo.hivyo basi kama sababu zikitolewa za msingi hata mama mkwe a.k.a bibi anaweza kusimamia malezi ya mtoto na hapa kuna taratibu za kufuata kwasababu bibi nae ana husianao na wanandoa hawa.(relatioship by marriage)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom