Malezi: Mtoto akivuruga au kuvunja vitu usikimbilie kumuadhibu...

Me mpaka leo sina tv wala smart phone,binti kaachwa sebuleni anafurahiya katoon akapanda kameza ka tv sijui alitaka kuingia?? Tv ikashuka nzimaaa na simu vyote chali,jioni nimefika nazima gari tu haka hapa nimekabeba kuingia ndani woote wamenuna kuuliza nikaoneshwa majanga,nime zila sinunui mpaka mwaka uishe dadeq
Nauna unamkomesha dgo aschek katuniii ...
 
Kibongo bongo hatuwezi kukuelewa, ukizingatia stress za vyuma kukaza ndio basi tena atashushiwa kipondo haswa.

Kuna umuhimu sana akina mama tukawa na somo la saikolojia kama major ktk masomo tusomayo.
 
Haswaa hlf huwa tunasahau kuwa hilo suala la kuharibu hata baba au mama anaweza kuharibu kitu.
 
Ila watoto jamani, kuna siku nimehangaika kutafuta chaja ya simu, nilitafuta sana mpk nje kwa majirani labda alitoka nayo lkn bila hlf kenyewe kamelala. Asb pamekucha nakauliza uliona chaja yangu? Eti eeeh. Haya uliweka wapi, kumbe imewekwa kwenye kopo la blue band
 
Hata sisi tunaharibu sanaa, ila sijui kwanini wakiharibu watoto inakuwa ni kosa la jinai!!!
Na hii huwa tunaihamishia hadi kwa wasichana wa kazi, wapo hadi ambao huwalipisha. Tunasahau kuwa wao wanashika sana hivyo vitu kwa siku hivyo kuvivunja lazima itokee tu.
 
Daaaaah
 
Watoto wanaharibu makusudi. Dada ni Bahati mbaya..
 
Hata sisi tunaharibu sanaa, ila sijui kwanini wakiharibu watoto inakuwa ni kosa la jinai!!!
Na hii huwa tunaihamishia hadi kwa wasichana wa kazi, wapo hadi ambao huwalipisha. Tunasahau kuwa wao wanashika sana hivyo vitu kwa siku hivyo kuvivunja lazima itokee tu.
Ajabu sana yaan na wakati hv ni vitu vya kawaida sana, kwakweli sijawahi kumpiga mwanangu kisa kaharibu kitu zaidi ya kumuelewesha tu.
 
Mwanangu namchapaga na kitana. Ukimchapa ya kwanza anacheka. Ya pili analia ukimuacha ukigeuka tu anarudi kufanya ulichomchapia
Kuchapa mara nyingi huwa inapelekea hasira na chuki, hivyo anarudia ili kukukomesha kwasababu ulimchapa. Hapo unapata funzo kuwa haujatibu kosa. Wakati mwingine anafanya ili kukupima utafanya nini next, watoto wanaakili sana bahati mbaya huwa hatutumii akili kudeal nao.
 
Ndio maana mm nilimwambia inategemea na umri wa mtoto, kuna kengine hata ukikapiga ni kazi bure yaan hakaelewi kitu.
Wakati mwingine inakera tu kwanini haelewi. Simu nayotumia sasa hivi button ya kuwashia simu haipo alitupa chini. Jana kaingia kwenye fridge katoa mboga akazimwaga kwenye kochi. MTU kama huyo usimpe hata tufimbo tumoja kweli? Kuna kitu akifanya cha Bahati mbaya wala sikasiriki. Ila makusudi namchapa.
 
Back
Top Bottom