Malengo Yako Ya 2026 ni yapi?

You'll be fine. Muhimu ni kwamba unataka mtoto. Ingawa wana changamoto zao ila yote kwa yote watakufanya ufurahie dunia maarufu. Kuhusu kuchanika msamba....Kamata huu ushauri. Push only when you feel like pushing, sio kwa sababu nesi kakwambia U push. Ukipata contraction mwili wako ndio unaomsukuma mtoto wewe unasaidia kidogo tu kwa ku push. All the best!
 
Malengo 2026 ni kuoa.
 
Ikawe heri Comred🔥👋
 
Malengo yangu ni kuomba miez iende haraka nipokee mishahara yangu 12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…