I see, wake za watu wengi wanasoma ni watu wazima, hawana uwezo darasani, kwa hiyo wanaamua kutumia strategy ya kutembea na malecturer ili angalau wapate marks za nyongeza. NI kweli wake za watu wanatufunwa kushinda hata hao wasio wake za watu, na tatizo ni kwamba wanajipeleka wenyewe. Lakini kunambia kwamba eti lecturer anakusapisha au kukucarisha kisa umemnyima ngono, hilo sikubaliani kabisa. Otherwise unambie huyo mwanamke ni zezeta wa kutupwa. Kitu rahisi kama hicho anashindwa nini kumtega huyo lecturer? Hawezi kumwomba namba ya simu halafu aendeleza hayo mawasiliano ya kuomba ngono kwa njia ya sms? Au hawezi kutafuta digital recorder au hata akatumia simu kurecord mazungumzo na kuyapeleka utawala. Kulingana na sheria za chuo, kosa kama hili likithibitika tu, huwa hakuna mjadala. Ni off you go. Uwe ni professor au mtu mhimu namna gani, unaondoka. Huyo anayeleta story hizi bila shaka na yeye anapenda hako kamchezo. Not otherwise.Yaan mkuu hii ni live bila chenga, tena wake za watu ndo wanavua kabisa wanavua hadi pete za ndoa ili ..........
Yaan hii ni kweli inatokea akimnyima kitu anamchinjia baharini'
Kwa kiac kikubwa wa kiume ni pesa tu ndo huwa wanatoa,
hizo ishu za ungwinini, coet hakuna mda wa kupiga story na malecturer. coz coet cozweki sio ishu, we komaa na UE utoke kivyako.
kimsing madem wanajilengesha wenyewe kwa kutaka mtelemko kupata mabanda, sas kama mzuri kwa nin asikubandue! unadhani yeye sio mjinga!?
Yaan mkuu hii ni live bila chenga, tena wake za watu ndo wanavua kabisa wanavua hadi pete za ndoa ili ..........
Na wanafunzi wa kiume wanatakiwa kutoa nini if that is the case? Acha kutoa sweeping statement hapa!
Haya mambo yapo tusijifanya kwamba hayapo,hata kama wengine mnasema kwamba wake zetu wapo vyuoni kwa hiyo tutajitia pressure ndio ukweli wenyewe.Wanawake ni mama,wake,dada zetu lakini kuna mambo mengine huwa wanafanya yanatia kichefu chefu,kwa mfano enzi zetu za JKT wadada walikuwa wanauza utu kwa kutaka shushi tu au mistini ya wali jioni.Ni ajabu na kweli believe me
Inategemea na jinsi unavojiweka bana! Lecturer hawezi kukufuata tu from no where,mara nyingi tatizo huanza kwa mwanamke/msichana mwenyewe..unakuta mdada anaendekeza starehe at the end of the day anafail..akishaona hivyo anaanza kujichekesha kwa malecturer na kuwafata ofisini wamsaidie.,hapo ukitongozwa utalalamika??
Yaan hii ni kweli inatokea akimnyima kitu anamchinjia baharini'
Tatizo si la malecturer bali wanavyuo wenyewe. Wengi ni wavivu hawasomi inapofikia mambo yanakuwa magumu wanaona ni bora wajisalimishe ili wasaidiwe. Muhimu wanachuo wajue kilichowapeleka chuo ni nini?
malecturer walishashindikana siku nyingi wanapaswa tu kupigiwa vote of no confidence kama wanafunzi watasign ikiwa kama ile ya bunge nayo tutabaki tu mweee tunakodoa macho tutabaki tunamlaumu tu makamba hakusign kumbe mnafiki tu kama wengine