Alituhumiwa na yule mama mbunge wa viti maalum wa Chadema kwa rushwa ya viwanja kule Kinondoni pamoja na Londa. Yeye na Londa wakalalamika kwa supika six kuwa wameonewa na kukashifiwa. Wakaja na vielelezo kuthibitisha kuwa wameonewa maana kila kitu kilifanyika transparently, lakini na yule mama akaja na vithibisho vyake kwa supika six. Unajua nini walikifanya kukimbia aibu? wote waliyaondoa madai yao haraka sana na sasa imesadikika bungeni kwamba mambo alisema Mdee ndio kweli! Yaani Makamba na Londa ni wala rushwa!!!!!!!! Alafu tukisema chama cha mb**i Tanzania ni wezi mnashangaa!