Malazi ya muda mfupi mjini London UK

Malazi ya muda mfupi mjini London UK

Timba london qure br kama manzese tu hata hutojuta,ila jianda kukutana na dadazako wa tandale
 
Salaam kwenu wote. Nimebahatika kupata kajisafari cha kikazi kwenda ughaibuni/london-uingereza kwa muda wa majuma 2. Lakini baada ya hayo majuma mawili ningependa nikae siku za ziada 10 hivi. Hayo majua mawili ya mwanzo mwajili atanilipia ghalama zote, isipokuwa baada ya hapo itabidi nijighalamie mwenyewe. Ni mara yangu ya kwanza kwenda huko..nimejaribu ku-google malazi ya bei rahisi huko lakini nionacho ni ghali upande wangu. Wale ambao mna uenyeji wa jiji hilo naomba mnijuze tafadhari.

Ingia hapa www.booking.com
 
Unapata shida ya nini kwanini usifikie kwa Lowassa hapo London ana nyumba?
 
Back
Top Bottom