Malazi ya muda mfupi mjini London UK

Malazi ya muda mfupi mjini London UK

Jongwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2008
Posts
1,040
Reaction score
666
Salaam kwenu wote. Nimebahatika kupata kajisafari cha kikazi kwenda ughaibuni/london-uingereza kwa muda wa majuma 2. Lakini baada ya hayo majuma mawili ningependa nikae siku za ziada 10 hivi. Hayo majua mawili ya mwanzo mwajili atanilipia ghalama zote, isipokuwa baada ya hapo itabidi nijighalamie mwenyewe. Ni mara yangu ya kwanza kwenda huko..nimejaribu ku-google malazi ya bei rahisi huko lakini nionacho ni ghali upande wangu. Wale ambao mna uenyeji wa jiji hilo naomba mnijuze tafadhari.
 
Ingekuwa unakuja hapa mtwara ningekuambia uje hapa Naf Blue View Hotel
 
Kuna baadhi ya nchi kuna hizo cheap places kukaa kwa mfano kwa Australia ni backpackers hostels! Hizi huwa maalumu kwa travellers. Kwa huko London lazima zipo ebu tumia google maps vizuri, hongera sana kuosha macho mkuu
 
Salaam kwenu wote. Nimebahatika kupata kajisafari cha kikazi kwenda ughaibuni/london-uingereza kwa muda wa majuma 2. Lakini baada ya hayo majuma mawili ningependa nikae siku za ziada 10 hivi. Hayo majua mawili ya mwanzo mwajili atanilipia ghalama zote, isipokuwa baada ya hapo itabidi nijighalamie mwenyewe. Ni mara yangu ya kwanza kwenda huko..nimejaribu ku-google malazi ya bei rahisi huko lakini nionacho ni ghali upande wangu. Wale ambao mna uenyeji wa jiji hilo naomba mnijuze tafadhari.

Premier Inn.....chain ya hotels za bei ya Kati na quality nzuri
 
USA $ 2,500 kwa usiku mmoja power to you Millennium Hotel Mayfair
 
jerrymsigwa vipi mdogo wangu? mm ni kaka yako naomba unitafute
 
Kuna baadhi ya nchi kuna hizo cheap places kukaa kwa mfano kwa Australia ni backpackers hostels! Hizi huwa maalumu kwa travellers. Kwa huko London lazima zipo ebu tumia google maps vizuri, hongera sana kuosha macho mkuu
Mkuu Jerrymsigwa msome bro wako hapo chini
jerrymsigwa vipi mdogo wangu? mm ni kaka yako naomba unitafute
 
Last edited by a moderator:
Asanteni sana. Walionielewa Asanteni sana kwa maelezo yetu kwani yamenisaidia kupata suluhisho. Kwa ambao hamkunielewa asante kwa muda wenu pia
 
Jaribu 10 Downing Street.........bei ni rahisi sana........unaangalia London Eye kwa pale tu...........
 
Mkuu acha utani,haya Ni makazi ya ofisi ya Waziri Mkuu aise
 
Back
Top Bottom