Malaya

Mtoboasiri hivi unaishi dar au mji gani? Saa ya ukombozi ni sasa.....kinamama have declared freedom ......if you can buy they can as well buy.....

Niambie huo mtaa sasa hivi niende (ukichukulia WEWE huyo umenitilia fitna ili Kongosho aniteme). nataka NIKAUZE kibamia changu sasa hivi! Na nilivyo chacha!

Btw: Kungekuwa kuwa na opportunity ya wanaume kujiuza WEWE si ungeshajiuza zamani ili ukwepe kulipa deni la Bayport???
 
Hahahahaha kumbe kelele zote unamtaka Kongosho? Mtoboasiri hivi una ubavu wa kumfikisha Kongosho, sio unawinda tembo kwa manati....
 
Last edited by a moderator:
Imebidi nicheke sana. Labda niulize, huyo anayeitwa malaya anafanya huo umalaya na nani na miti? Kama anafanya na mtu kwanini mmoja aitwe malaya na mwingine sio! Anayeuza na kununua mwili wote malaya. Labda tukiliongelea kwa definition sawa lakini ki vitendo wote wapo kwenye kapu moja.
 
Hivi hujui Bishanga kaniuzia? Tena kwa bei chee sana

 
Last edited by a moderator:
Haina maana kuwa kwa kuwa watu wakioana basi wote wataitwa waume au wake, vivyo hivyo mwanamke anayeuza mwili wake ni kahaba na yule anayetembea na wanaume wengi kimapenzi pasipo kujiuza ni malaya na kwa wanaume wanaotembea na wanawake wengi kimapenzi wao huitwa fuska.
 
wewe uko kundi gani kati ya hayo?
 
hii si maana halisi ya MALAYA. mala ya ni mwanamke au mwanaume na ni tabia ya mtu, maana ya malaya ni kuwa
na mpenzi zaidi ya m moja au kubadilisha wapezi ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…