mimi nachoka kabisa na huu mfumo dume,wanaume wakishaoa baada ya honeymoon mbona wanarudi kwenye vijiwe vile vile na marafiki wale wale na inaonekana ni sawa tu? Jamani why are we insulting womens intelligence?yaani mwanaume ajichagulie marafiki ila mwanamke akifanya hivyo nongwa? kibaya zaidi linapokuja suala la hii mentality hata kinamama mnaunga tela,mbaya sana.Tubadilike pliz,tuache hii zarau kwa kinamama,ni watu wazima hawa wenye uhuru wa kuchagua marafiki na kujua maadui zao.