WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,233
Wanachodai ni kuwa Mpaka uliochorwa na mwingereza ndiyo wenyewe na huo uliochorwa na mjerumani ni feki, kwa hiyo ziwa lote liko malawi.waache waendelee kujidanganya...........kinachotakiwa kwetu sisi ni kuchukua hatua........kulinda mpaka wetu.........
Na sisi Tanzania tuanze utafiti wa mafuta Ziwa Nyasa, as simple as that!
umenena mkuu!Kwa jinsi tulivyokuwa WALAFI mkoloni wala hatukumbushi hiyo reference point (mipaka ya 1890) tunaikumbuka wenyewe tunapoanza kugombania ulaji........Bahati mbaya na rasilimali tunazogombea (mafuta na gesi) wala havijatunufaisha; na inawezekana tusijenufaika navyo kutokana na staili yetu ya kuwaachia wawekezaji wajitwalie tuu vyote nasisi kubaki na makombo.
Tuwachape tu ndo watatia akili.
Imenikumbusha miaka ya nyuma rais Banda wa Malawi wakati huo alileta choko choko mpakani wakati huo tulikuwa na viongozi full of patriotism. Alipigwa mkwara wa kijeshi ndani ya juma moja akasalimu amri. Ndiyo chanzo cha zile nyimbo tulikuwa tunaimba kwenye mchaka mchaka shuleni:
KIONGOZI:
"Wamalawi watuvalia,
Watuvalia ngozi ya simba,
Kututishia watanznia, hatujali, hatujali!"
TUNAITIKIA:
"Bandaaaa wa Malawi,
Atuvalia ngozi ya simba,
Kututishia watanzania,
Hatujali, hatujali!"
Those old good days!
Hivi haka ka-Banana republic (Malawi) na ka president kao hako ka-mwanamke (Joyce Banda) kwanini kanataka kutuchezea! Wako wapi wale magenerali wetu akina MTI MKAVU, BLACK MAMBA, MUHOGO MCHUNGU etc? Chief in Command of the Armed Forces Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwanini usiwatume hao magenerali waende Blantyle wamushike huyo Joyce Banda wamulete Magogoni umchepe VIBOKO 12 halafu arudi Malawai akumuonye mme wake (kama anaye) na Wamalawi wote ili aache chokochoko zake.
Rais ambaye hawezi kuwalisha hata watu wake halafu anataka kutuvimbishia ma wowowo yake STUPIDY. We have to tell her in black and white mpaka ni katikati ya Ziwa Nyasa and is not NEGOTIABLE. Kuonyesha intent balozi Tsere aondolewe Malawi mara moja apelekwe GENERAL mmoja wa JWTZ. Majeshi yetu yapelekwe kwenye mpaka wa Malawi mara Moja.
Hatuwezi kuchezewa na haka ka Banana republic. UWEZO TUNAO, SABABU TUNAZO, NA NIA TUNAYO. Kwahili ni bora tule nyasi lakini we have to teach them a lesson!
Tuwachape tu ndo watatia akili.
Wasomeni wamalawi wenyewe wako tayari kwa vita, Bofya hapo
Tanzania asks Malawi to halt oil exploration | Malawi news, Malawi - NyasaTimes breaking online news source from Malawi
Hawa jamaa huenda walishajua weakness za kiuongozi tulizonazo kwa sasa nchini, walishajua kuna mpalanganyika ndani ya serikali hivyo wanajua ndiyo timing nzuri! Na ni kweli sidhani kama system zetu zina ushirikiano wa kutosha katika kulinda mipaka ya nchi yetu!! Natamani sana hili zogo lifike sehemu tumalize hili suala kwa njia yeyote.Mkuu nimesoma matusi yao...wametutukana kweli...kuna mabwana wanawapa kichwa ....we have to do something.... i miss Edward Lowasa....alitoa kauli nzito kwa Egypt waliponyanyua mdomo kuhusu Miradi ya Maji inayoendeshawa na Tanzania kwenye ziwa Victoria wakanywea wenyewe.........Tunahitaji viongozi wa namna hiyo
Here we go 1890 Agreement - Berlin Conference... They don't have any problem with Mozambique part of it is too little
but for our side; Oh there is OIL and GAS... they need it all, they will be rich... SHAME SHAME SHAME greedy Africans...
Mkuu nimesoma matusi yao...wametutukana kweli...kuna mabwana wanawapa kichwa ....we have to do something.... i miss Edward Lowasa....alitoa kauli nzito kwa Egypt waliponyanyua mdomo kuhusu Miradi ya Maji inayoendeshawa na Tanzania kwenye ziwa Victoria wakanywea wenyewe.........Tunahitaji viongozi wa namna hiyo