Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Joyce Banda amemkatalia hata Omar al Bashir asikanyage Malawi kwenye mkutano wa AU Julai. Banda amemwomba radhi Bashir kwa kuchukua uamuzi huo kwa sababu kama Bashir akikanyaga Malawi wazungu watakata misaada.
BBC
Atakapokuja kujing'amua atajilaumu (and it will surely be too late!)Maskini madame Banda.... Anaonesha weakness zake kwa uwazi mno. .... Sad.
Atakapokuja kujing'amua atajilaumu (and it will surely be too late!)
Kujing'amua ni kazi sana Askari... They will give her what she wants... and wipe out any mashaka remaining kuhusiana na wao. Anaonekana kama vile she is kind of absolute in decision making, too early to say but still evident. Lets wait and see movie inakoekea...
AshaDii nadhani tatizo la hao wanyasa vile vile ni kupenda uzungu kupindukia (kwa mfano kucheza ngoma ya lipenenge na kaptula, soksi, shati jeupe na tai shingoni kwenye vumbi). Hii imekuwepo tangu enzi za Dr. Hastings Kamuzu Banda ambaye alipaliliwa na waingereza hadi kujiona yeye ni mmoja wao. Sijawahi kuona mwamko wa kisiasa toka kwa wamalawi ambao nimekutana nao, zaidi ya wachache kama marehemu Kanyama Chiume. I might be wrong but that is the way I see it!
ogopa sana kumwamini activits ambao wameingia kwenye siasa kupitia mgongo wa utetezi wa haki za binadamu. This is typical! Anataka kuendelea kutetea hata ujinga. Bush mbona ameua sana watu? Au kwa sababu alikuwa anawafanyia hivo waarabu? Somtime huwa nawakubali waarabu kwa kugoma kuendeshwa na hawa nguruwe japokuwa utajiri wanautoa kwetu. Kuzaliwa na ngozi nyeusi ni laana fulani!
Mi namuunga mkono...
How can you say that homosexuality is "unnatural act and indecent practices"?
Hizo sheria zimekaa kinyume na haki za binadam na zinatakiwa kukanushwa.
However, this should not be done "in a bid to get donors funds reatored",
it should be done because it is part of the jus cogens.
Mimi naona labda Deskmate atufafanulie hiyo natural act anavoitafsiri yeye na mwalim wake wa baioloji. heheheMwali are you saying homosexuality is decent? Are you saying it is a natural act? Please on what basis?