Malawi: Muluzi akataliwa kugombea uraisi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malawi: Muluzi akataliwa kugombea uraisi!

Discussion in 'International Forum' started by MzalendoHalisi, Mar 20, 2009.

 1. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Tume ya Uchaguzi Malawi imemkatalia Muluzi nafasi kugombea tena Uraisi kwa Kipindi cha Tatu!

  Sababu??

  Alishakuwa raisi tayari vipindi viwili vya miaka mitano mitano!

  Source: BBC Focus on Africa.


  Hii imekaa poa!!! Huyu jammaa aliwehuka kugombea tena mara ya tatu?

  Au ni ktk kuficha tuhuma za Rushwa akiwa Raisi?
   
 2. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tume ya Uchaguzi inatoa tangazo kumzuia mtu bila sababu!

  Muluzi aliwahi kwenda mahakamani kudai haki ya kugombea mara ya nyingine, akidai katiba haikatazi japo aliwahi kuwa Rais 1994 mpaka 2004. Leo habari zinasema kamati ya uchaguzi imemkatalia, for no reason.

  Angalia katiba yao ilivyo na loophole kwa Muluzi kuwa Rais hata miaka thelathini as long as ana pumua between awamu mbili mbili.

  CONSTITUTION OF THE REPUBLIC OF MALAWI
  Section 83 (3 )
  Tenure of office

  The President may serve a maximum of two consecutive terms


  CONSTITUTION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
  Section 40 ( 2 )
  Eligibility for re-election

  No person shall be elected more than twice to hold the office of President.


  Katiba ya Kibongo iko air tight, labda uibadilishe kwanza ndio ulete uswahili mwingi.
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  1. Kuna hii ya wizi kesi ya 10's of millions of USD..hii tayari inamkoshesha moral authority ya kuongoza watu waskini kama Malawi!

  2. What moral authority as individual if not uroho wa madaraka just to exploit a slight weakness of country constitution for his own advantage does Muluzi have?

  Mie nadhani once you have rulled twice it is enough.. otherwise power corrupts na inakuja kuwa kama ya Mugabe!

  Kwani akiwa ex-president tu as a Malawian na hizo benefits zote je haitoshi?

  Mtu atashangaa sana kina Chissano, Mkapa, Mwinyi, Obasanjo, Rawlings etc leo hii watake tena kugombea tena! For whatever reasons!

  Is Muluzi God's deputy in Malawi?

  Ndo maana naona Muluzi anawehuka!!!
   
 4. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Malawi ex-leader fights poll ban

  Malawi's former President Bakili Muluzi has mounted a legal challenge to the electoral commission's decision to bar him from running again in May's polls.

  The commission said on Friday Mr Muluzi - who headed the southern African nation from 1994 to 2004 - had already had his limit of two terms.

  But Mr Muluzi's lawyers say it is for the courts to rule whether he can stand again, not the electoral commission.

  They argue that he can stand again, after a period out of office.

  The former president says the decision is a "breach of political rights".

  Fergus Lipenga, of the Malawi Electoral Commission, told the BBC News website they had received a high court summons on Monday from Mr Muluzi's legal team to explain their decision.

  Malawian commentators say the constitution is not clear as to whether a citizen who has had two terms as president can, after a gap, run again.

  In an affidavit seen by AFP news agency, Mr Muluzi wrote: "I am eligible to stand as a presidential candidate in the forthcoming elections, after a lapse of one term in office when another person occupied the office of the president."

  He was succeeded by the incumbent, President Bingu wa Mutharika, who is seeking re-election.

  Mr Muluzi is also battling a corruption case after he was charged in February with a number of counts of graft over the alleged theft of $12m in aid money.

  In the country's first multi-party poll in 1994, Mr Muluzi defeated Kamuzu Banda, who had ruled Malawi with an iron fist for three decades.

  After serving two terms, Mr Muluzi handpicked Mr Mutharika to succeed him in 2004.

  But the pair fell out soon afterwards and the president formed his own party.

  Mr Mutharika said his former political associates were opposed to his anti-corruption drive.

  Source: BBC NEWS | Africa | Malawi ex-leader fights poll ban
   
 5. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Right, Katiba ina bonge la loophole!

  Ukiongoza kwa miaka kumi, halafu ukavuta pumzi unaweza kurudi!

  Wasimlaumu Muluzi.

  Waache mahakama ndio itafsiri nini maana ya maneno "maximum of two consecutive terms."
   
 6. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hao majaji are they impartial?

  Kama ni wale yeye aliyewateu- je kuna haki hapo?
   
 7. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Lakini katika mataifa mengi majaji wanateuliwa na Rais, na tunategemea watende haki.

  Halafu katika jopo la majaji huwa kunakuwa na mchanganyiko wa walioteuliwa na marais mbali mbali. Hivyo kura inaweza kugawanyika na kukawa na aina ya haki.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Mar 24, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Sawa tumesikia gwiji wa sheria....
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Hawa viongozi wengine Africa ni problem. Siamini kabisa hii tabia waliyonayo baadhi ya kuamini kwamba bila wao mambo hayaendi. Ndio maana tunazungukwa na madikteta kila kona. Nchi aliyoiongoza Muluzi ilikuwa na corruption, njaa kali na umaskini uliopitiliza isipokuwa kwa wachache waliokuwa karibu naye. Sijui this time anataka kuleta nini kwa nchi yake na bara letu la Africa
   
Loading...