Mtego wa Noti JF-Expert Member Joined Nov 27, 2010 Posts 2,694 Reaction score 1,772 Aug 17, 2012 Thread starter #81 mi nashangaa waawabeza wamalawi...
Laptop01 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2009 Posts 1,426 Reaction score 885 Aug 17, 2012 #82 Mtego wa Noti said: mi nashangaa waawabeza wamalawi... Click to expand... Mantahofu kaka. Bungeni kwenyewe muda wote walipangwa na kajamaa fulani nakafahamu tokea sekondari kuwa ni kajasusi.
Mtego wa Noti said: mi nashangaa waawabeza wamalawi... Click to expand... Mantahofu kaka. Bungeni kwenyewe muda wote walipangwa na kajamaa fulani nakafahamu tokea sekondari kuwa ni kajasusi.
K kyelatz Member Joined Aug 11, 2012 Posts 73 Reaction score 5 Aug 17, 2012 #83 tanzanias niwamasikini sana! Lets stop talking about war please. We are a poor country under islamic arab influence
tanzanias niwamasikini sana! Lets stop talking about war please. We are a poor country under islamic arab influence
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,587 Reaction score 28,749 Aug 17, 2012 #84 inteligencia ya tanzania iko bize kuzuia mikutano ya M4C.......
Mtego wa Noti JF-Expert Member Joined Nov 27, 2010 Posts 2,694 Reaction score 1,772 Aug 22, 2012 Thread starter #85 naona umeshaanza kuona woga hata kabla ya mambo yenyewe...chezea tanzania wewe... kyelatz said: tanzanias niwamasikini sana! Lets stop talking about war please. We are a poor country under islamic arab influence Click to expand...
naona umeshaanza kuona woga hata kabla ya mambo yenyewe...chezea tanzania wewe... kyelatz said: tanzanias niwamasikini sana! Lets stop talking about war please. We are a poor country under islamic arab influence Click to expand...
Mtego wa Noti JF-Expert Member Joined Nov 27, 2010 Posts 2,694 Reaction score 1,772 Aug 22, 2012 Thread starter #86 asigwa said: inteligencia ya tanzania iko bize kuzuia mikutano ya M4C....... Click to expand... sasa unadhani wangefanya nini? hawana cha kufanya zaidi ya kutupeleka mabwepande na kutunyofoa kucha na meno..
asigwa said: inteligencia ya tanzania iko bize kuzuia mikutano ya M4C....... Click to expand... sasa unadhani wangefanya nini? hawana cha kufanya zaidi ya kutupeleka mabwepande na kutunyofoa kucha na meno..
C Caesar1 Member Joined Aug 1, 2012 Posts 33 Reaction score 3 Aug 22, 2012 #87 Mtego wa Noti said: sasa unadhani wangefanya nini? hawana cha kufanya zaidi ya kutupeleka mabwepande na kutunyofoa kucha na meno.. Click to expand... Ingekuwa ivo nchi hii!isingekuwepo!na intelligencia kama ilivyo maana yake,tutulie tule maisha tuache dharau
Mtego wa Noti said: sasa unadhani wangefanya nini? hawana cha kufanya zaidi ya kutupeleka mabwepande na kutunyofoa kucha na meno.. Click to expand... Ingekuwa ivo nchi hii!isingekuwepo!na intelligencia kama ilivyo maana yake,tutulie tule maisha tuache dharau
C CHOMA Senior Member Joined Aug 22, 2012 Posts 118 Reaction score 9 Aug 22, 2012 #88 Pamoja na umahiri wao wa kutupeleleza lakini kauli aliyowapa Amiri jeshi wetu yatosha kwani nina hakika anaelewa kabisa nyendo zote za Malawi.Sina hofu yoyote na Rais wetu kwa sababu yeye mwenyewe ni Mjeshi.Hiyo yatosha.
Pamoja na umahiri wao wa kutupeleleza lakini kauli aliyowapa Amiri jeshi wetu yatosha kwani nina hakika anaelewa kabisa nyendo zote za Malawi.Sina hofu yoyote na Rais wetu kwa sababu yeye mwenyewe ni Mjeshi.Hiyo yatosha.