Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,694
- 1,772
- Thread starter
-
- #61
Wamalawi wako makini sana katika kuamua hatima yao. Nimesoma magazeti na blogs zao nyingi za kwao nimegundua wamalawi wengi wako against vita baina yao na sisi, na wengi wanatutambua kama majirani zao wa karibu na wa siku nyingi. Wapo walevi wachache kama i(ilivyo huku) pia wanaoshabikia vita. Nionavyo serikali yao imepima upepo na kuligundua hilo, kwamba vita kamwe haitakuwa kwa maslahi ya wamalawi wala watanzania; ndiyo maana wameamua kulipeleka suala hili mbele ya vyombo vya kisheria vya kimataifa ili kupata suluhu. Binafsi nazipongeza hatua za hivi karibuni za serikali ya Malawi kuongeza mahusiano yake na sisi na nashauri sisi pia tufanye hivyo ili kuepusha uhasama usio wa lazima uliozalishwa na historia yetu ya kutawaliwa. Wote, wamalawi na watanzania wana madai ya haki kabisa kudai kama wanavyodai; Mkoloni alikabidhi Nyasaland ramani inayoonyesha nchi hiyo kumiliki ziwa lote, kwetu alikabidhi ramani ambapo Tanzania ilionekana kumiliki nusu ya eneo la maji ya ziwa na UN baadae walithibitisha nadharia ya umilikaji wa nusu ya eneo la maji pale ambapo mipaka ya nchi inakutana na ziwa au maji. Ni kwa mantiki hayo inapaswa pande zote kuketi na kuzungumza nini kifanyike ili udugu na ushirikiano uliodumu karne nyingi uendelee. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
hivi mnafkiri japanese naval force imekuja nchini by default at this time!!??
Jiulize, livefire exercise ya mwaka huu kwanini itafanyika brigade 401(kusini)?? Hizo delegation hazina lolote, mama banda anajaribu kujiweka karibu maana majasusi wake walimwambia zaidi ya malori 90 yenye silaha nzito zilizofunikwa na maturubai yalipelekwa mbeya na ruvuma
pia mjapani ametangaza kuna "uwezekano" wa jwtz naval command kufanya nao mazoezi.., kwnn saivi tunahitaji naval exercise now na nchi kisiwa wataalam wa amphibious operations??!
Unajua mjapan amekuja na meli ngapi?? Zina nini ndani? JWTZ ni zaidi ya mnavyoijua..., its a secret society, JWTZ inaheshimika africa, hawakurupuki,
Be a great thinker, read between lines..., moshe dayan staki kusema mengi.., just be a GREAT THINKER!
aiseee...unawalinganisha malawi na yanga eeh! usiwaone wapole huwezi kujua ukali wao...Mimi sitaita vita, hii itakuwa kama mechi ya kirafiki ya Man united na yanga. mshindi anajulikana

Be a great thinker, read between lines..., moshe dayan staki kusema mengi.., just be a GREAT THINKER!..............
hivi mnafkiri japanese naval force imekuja nchini by default at this time!!??
Jiulize, livefire exercise ya mwaka huu kwanini itafanyika brigade 401(kusini)?? Hizo delegation hazina lolote, mama banda anajaribu kujiweka karibu maana majasusi wake walimwambia zaidi ya malori 90 yenye silaha nzito zilizofunikwa na maturubai yalipelekwa mbeya na ruvuma
pia mjapani ametangaza kuna "uwezekano" wa jwtz naval command kufanya nao mazoezi.., kwnn saivi tunahitaji naval exercise now na nchi kisiwa wataalam wa amphibious operations??!
Unajua mjapan amekuja na meli ngapi?? Zina nini ndani? JWTZ ni zaidi ya mnavyoijua..., its a secret society, JWTZ inaheshimika africa, hawakurupuki,
Be a great thinker, read between lines..., moshe dayan staki kusema mengi.., just be a GREAT THINKER!
Nyie wadanganyeni 2,..mbona watajuta kuifahamu hii nchi...
watatushinda mpira na riadha. kwa mabomu hawatuwezi msiwe na wasi :israel:
Nimeamini Malawi ni kiboko kwa kukusanya habari za kiintelijensia hasa baada ya huu mgogoro wa mpaka maarufu kama mgogoro wa ziwa Nyasa.
Toka Lowassa, Membe na Sitta walipotangaza kuwa Tanzania iko tayari kupigana ili kulinda mipaka yake, haiishi siku bila kuona delegation mbalimbali kutoka Malawi zikiwa hapa nchini eti kuongea mara na Tume ya uchaguzi, mara bunge, n.k.
Kwa taarifa yenu kama hamjui, delegation hizi zinakuja maalum kuangalia the state of art! wanajaribu kuangalia kama kuna any movements zinazoweza kuonyesha kuwa tuko tunajiandaa kivita.
Mipangilio hiyo ambayo wanaweza kuangalia ni pamoja na bulk procurements za vyakula, mambo ya silaha na mobilization za majeshi kutoka eneo moja hadi lingine hasa kuelekea maeneo karibu na huko kwenye mgogoro.
Wakati wakiangalia hayo, wanajaribu pia kuangalia weak spots za kwetu ili kama kweli ikitokea, basi watuzime ghafla na kwa haraka zaidi.
Kwa taarifa yenu, Malawi tuwa-underestimate eti na ka nchi kadogo, hata chura alimuua tembo!
Let us be extra careful guys.
sasa wewe unataka kuwafundisha tanzania ambao wamepigana vita vyao na vya wengine? Usitake ncheke!