Hapa mwandishi ana hoja kuu mbili:-
1. Kuhusu wahalifu 16, ambapo 13 ni watanzania na 3 Wamalawi, hao sheria ifuate mkondo wake hatuwezi kutete wahalifu, tuwe wakweli.
2. Kuhusu mpaka wa malawi katika ziwa nyasa, huyo rais mutharika ajue kuwa ziwa malawi linaegemea nchi mbili(tz na malawi) kwa makubaliano ya kimataifa ni kuwa: rasilimali kama ziwa, mto, inayotenganisha nchi mbili, lazima pande zote zifaidike, mfano, tz, ug, kenya, ziwa Victoria, pia ziwa tanganyika kati ya tz, congo, hata burundi, sasa malawi yeye ni nani ajifanye mbabe? Lazima akubali, na busara itumike hapo