Malawi: Balozi Polepole akagua gwaride la kijeshi

Polepole ni genius acha hao wanaosema chama ni cha kwao siku koti lao likiondoka watajificha sehemu ambayo haifichiki!
Kama chama kingekuwa na mwenyewe basi watoto wa Hayati Nyerere na Hayati Karume ndio wangestahili kusema Chama chao !! Sio wanojimwambafay kwa sasa ! Lakini kwa mbali naona wapo watu wanausoma mchezo tu IPO siku watu watatafutana !!
 
Polepole hana tofauti na bwana yule. Hawa watu tuwe nao makini sana tusije rudia kumuweka kichaa ikulu
Everything is happening for a reason !! Na siku zote tunaamini kwamba Mamlaka huteuliwa na Mungu !! Kwahiyo nadhani mbele ya safari tutakuja kujua ni kwanini Mungu alimteua yule Mheshimiwa japo alimwacha atawale kwa miaka sita tu !
 

Ki protocal hakutakiwa kuvaa tai nyekundu !
 

Hii Picha ihifadhiwe kwa matumizi ya mbeleni sanaaa huko.
 
Hata Lisu aliyakana maneno yake kuwa Lowasa ni fisadi
Waliyoyaishi kwa miaka nane yeye na mbowe na kuzunguka tanzania nzima kutuaminisha lowasa fisadi na hafai kuwa hata mtendaji wa kijiji.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…