Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 5,510
- 8,680
Wachukue mapato ya parking pale mjini wapunguze deni
KKKT kwenye sharika na mitaa wanajitahidi sana kusoma mapato na matumizi. Tena wana katiba nzuri sana ila shida ipo hapo makao makuu ya dayosisi.Makanisa kama haya ukiuliza habari ya mapato na matumizi lazima uundiwe tume, kama siyo kutengwa utaishia kuambiwa unatumika na ibilisi
Huku shirikani najua hakuna shida, nazungumzia huko ngazi za juuKKKT kwenye sharika na mitaa wanajitahidi sana kusoma mapato na matumizi. Tena wana katiba nzuri sana ila shida ipo hapo makao makuu ya dayosisi.
Malasusa ni ccm. Kwa hiyo upigaji upo kwenye DNA yake. Wewe vumilia tu umlipe maana huwezi jua amehonga mademu wake.Leo tuliitwa sehemu tukaambiwa Dayosisi ya mashariki na pwani ina deni la bilion 1.6
Haijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni.
Deni limegawanywa kila kituo yani sharika na mitaa, na inatakiwa liwe limelipwa ndani ya miezi 2.
Nmeumia sana kwasababu ni hela nyingi sana na ni mzigo kwa washarika ambao wanajithidi kuinua sehemu zao za kuabudia lakini wanabebeshwa zigo lingine ambalo halijulikani linatokana na nini,
Malasusa mimi nlikuwa nakuunga mkono sana ila kwa hili umenikwaza sana. Unawapa wakati mgumu sana Wainjilisti na wachungaji wako. Hebu fikiria Mwinjilisti au mchungaji anaenda kuwambia washarika tunatakiwa kulipa milioni 10 bila kuambiwa inatokana na nini?
Hapo makao makuu ya Dayosisi napo sijui pana shida gani maana katibu mkuu hajahudumu hata miaka 2 tayari tukasikia nafsi ya katibu mkuu iko wazi.
Mnatukosea sana! Hata kama mnapiga lakini hiyo ni too much.
Mods naombeni hii mada ibaki hapa maana sina pa kulalamikia.
Wafafanue walivyotafuna au, hapo no explanation yoyote,Acha tu mkuu! Roho imeniuma sana!
Alafu wangefafanua limetokana na nini wala isingekuwa shida
Hahaha wazee wa fursaKanisa limejaa wachagga, unategemea nini hapo?
Leo tuliitwa sehemu tukaambiwa Dayosisi ya mashariki na pwani ina deni la bilion 1.6
Haijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni.
Deni limegawanywa kila kituo yani sharika na mitaa, na inatakiwa liwe limelipwa ndani ya miezi 2.
Nmeumia sana kwasababu ni hela nyingi sana na ni mzigo kwa washarika ambao wanajithidi kuinua sehemu zao za kuabudia lakini wanabebeshwa zigo lingine ambalo halijulikani linatokana na nini,
Malasusa mimi nlikuwa nakuunga mkono sana ila kwa hili umenikwaza sana. Unawapa wakati mgumu sana Wainjilisti na wachungaji wako. Hebu fikiria Mwinjilisti au mchungaji anaenda kuwambia washarika tunatakiwa kulipa milioni 10 bila kuambiwa inatokana na nini?
Hapo makao makuu ya Dayosisi napo sijui pana shida gani maana katibu mkuu hajahudumu hata miaka 2 tayari tukasikia nafsi ya katibu mkuu iko wazi.
Mnatukosea sana! Hata kama mnapiga lakini hiyo ni too much.
Mods naombeni hii mada ibaki hapa maana sina pa kulalamikia.
Kwani kanisani unaenda kumuomba Mungu au kumuomba mwanadamu?Mimi ndio maana nimesimama kidogo kwenda kanisani,sadaka yangu nitaendelea kuitoa kwa watoto yatima na wasiojiweza.
Eeh! Mungu nisaidie na unionyeshe njia ya kweli.
Leo tuliitwa sehemu tukaambiwa Dayosisi ya mashariki na pwani ina deni la bilion 1.6
Haijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni.
Deni limegawanywa kila kituo yani sharika na mitaa, na inatakiwa liwe limelipwa ndani ya miezi 2.
Nmeumia sana kwasababu ni hela nyingi sana na ni mzigo kwa washarika ambao wanajithidi kuinua sehemu zao za kuabudia lakini wanabebeshwa zigo lingine ambalo halijulikani linatokana na nini,
Malasusa mimi nlikuwa nakuunga mkono sana ila kwa hili umenikwaza sana. Unawapa wakati mgumu sana Wainjilisti na wachungaji wako. Hebu fikiria Mwinjilisti au mchungaji anaenda kuwambia washarika tunatakiwa kulipa milioni 10 bila kuambiwa inatokana na nini?
Hapo makao makuu ya Dayosisi napo sijui pana shida gani maana katibu mkuu hajahudumu hata miaka 2 tayari tukasikia nafsi ya katibu mkuu iko wazi.
Mnatukosea sana! Hata kama mnapiga lakini hiyo ni too much.
Mods naombeni hii mada ibaki hapa maana sina pa kulalamikia.
Kanisa au tasisi ikiwa na wachaga wengi au ikiogozwa na mchaga..jua mmepigwa..hao jamaa wanajua pesa tu ndio Mungu anafata..wazee wa janja janja na upigaji pesa mbele..poleni wanaKKT.Leo tuliitwa sehemu tukaambiwa Dayosisi ya mashariki na pwani ina deni la bilion 1.6
Haijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni.
Deni limegawanywa kila kituo yani sharika na mitaa, na inatakiwa liwe limelipwa ndani ya miezi 2.
Nmeumia sana kwasababu ni hela nyingi sana na ni mzigo kwa washarika ambao wanajithidi kuinua sehemu zao za kuabudia lakini wanabebeshwa zigo lingine ambalo halijulikani linatokana na nini,
Malasusa mimi nlikuwa nakuunga mkono sana ila kwa hili umenikwaza sana. Unawapa wakati mgumu sana Wainjilisti na wachungaji wako. Hebu fikiria Mwinjilisti au mchungaji anaenda kuwambia washarika tunatakiwa kulipa milioni 10 bila kuambiwa inatokana na nini?
Hapo makao makuu ya Dayosisi napo sijui pana shida gani maana katibu mkuu hajahudumu hata miaka 2 tayari tukasikia nafsi ya katibu mkuu iko wazi.
Mnatukosea sana! Hata kama mnapiga lakini hiyo ni too much.
Mods naombeni hii mada ibaki hapa maana sina pa kulalamikia.
Ulikuwa unamuunga mkono kwa sababu alikuwa akiziimba sifa za Jiwe sasa Jiwe hayupo tena ndio wewe mataga umekurupuka kama mjusi aliyebanwa mkia na mlango.Leo tuliitwa sehemu tukaambiwa Dayosisi ya mashariki na pwani ina deni la bilion 1.6