Malasusa naye ni Chawa

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,008
Shallow reasoning za machawa utaziona! Instead of kuhubiri haki, yeye analeta uchawa kwa samia eti hajakulia kuipinga serikali. kama serikali haitend haki usiikemee? kwa hiyo Idd Amin alivyomuua Askofu Janan Luwum was correct kwa vile alipinga SRIKALI KUUA WATU?
 
Nilishapendekeza atimuliwe miaka mingi iliyopita , uzi umo humu

Screenshot_2024-01-21-14-02-58-1.png
 
Shallow reasoning za machawa utaziona! Instead of kuhubiri haki, yeye analeta uchawa kwa samia eti hajakulia kuipinga serikali. kama serikali haitend haki usiikemee? kwa hiyo Idd Amin alivyomuua Askofu Janan Luwum was correct kwa vile alipinga SRIKALI KUUA WATU?
Kauliza swali (kama sikosei ni Mnyakyusa. Tanzania bila Wanyakyusa ni sawa na India bila Wahindi Weusi). Aliuliza: SIKULELEWA KUTOKUWA UPANDE WA SERKALI. Kasema kuna mwumini (hakumtaja) alimwuliza kama yuko na Serkali - mwumini huyo ni mbowe. Walifanya juu chini ashinde Bagonza but where!
 
sijakupata.... Mbowe, swali etc sijakupata
 
Leo mtalala na viatu .maana raha yenu na mabi yenu ya kishetani mnatakaga kuona serikali yetu na viongozi wetu wakishambuliwa na kutukanwa bila sababu. Sasa mkiona mambo yamekuwa kinyume chake na nje na matarajio yenu mnaanza kuweweseka kama wagonjwa. Kaeni kwa kutulia hivyo hivyo.
 
Shallow reasoning za machawa utaziona! Instead of kuhubiri haki, yeye analeta uchawa kwa samia eti hajakulia kuipinga serikali. kama serikali haitend haki usiikemee? kwa hiyo Idd Amin alivyomuua Askofu Janan Luwum was correct kwa vile alipinga SRIKALI KUUA WATU?
Huo ndio msimamo wake na msimamo wa Mababa Askofu wa KKKT waliompigia kura. Mkienda kinyume naye maana Waamini wote wa KKKT mnawapinga. Nani atawapogia kura 2024 na 2025? Huku Kanisa Moja Katoliki la Mitume sie ni CCM tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom