Kabisa Joseverest maana kama watarudi tena kule kule ni hatari sana.Asante kwa taarifa, shauri lao litatuliwe kama inafaa
Mkuu, tramadol...naomba unisaidie madhara ya kutumia tramadol kipindi kirefu..km mwezi mzima kwa,kumeza 2x3... Kwa lengo la kupunguza maumivu ya mguu.. Side effect yake ni nn mkuu??asanteKabisa Joseverest maana kama watarudi tena kule kule ni hatari sana.
Mfano wale wale waliokuwa wanatumia drugs kwa njia ya kujichoma ni hatari kupata magonjwa kama HIV,Homa ya Ini B na CC,Syphilis na magonjwa wengine yanayoambukizwa kwa njia ya damu.
Pole kwanza...matumizi ya muda mrefu dawa kama hizi tunazoziita Narcotic.. Opioid Kuna mengi sana ila machache..Mkuu, tramadol...naomba unisaidie madhara ya kutumia tramadol kipindi kirefu..km mwezi mzima kwa,kumeza 2x3... Kwa lengo la kupunguza maumivu ya mguu.. Side effect yake ni nn mkuu??asante
Maelezo yana reflect jina lako....gd explanation mkuuPole kwanza...matumizi ya muda mrefu dawa kama hizi tunazoziita Narcotic.. Opioid Kuna mengi sana ila machache..
Kwanza inaweza kukuzoea na isikusaidie ktk kupunguza maumivu kwa maana kuwa ikawa Tegemezi yaani Addicted.Hii inatokana na kila siku kuongea dose kidogo kidogo mwisho wa siku hata utumie vipi maumivu yapo ndiyo maana ikawa unaongeza dose kwasababu hizi narcotics zinaleta hali fulani ya Ku relax mind na kupungua maumivu ila ikiisha tu unataka ile ile na si nyingine na maximum ya dose kwa siku ni 400mg
Pili matumizi ya siku nyingi unaweza kutompa mtu mimba au kushika mimba kwa mwanamke kutoka na kusababisha infertility huzalishaji na kupevuka kwa mayai Kuna kuwa hafifu sana.
Na uliizoea sana unachanganya na narcotics zingine au hata pombe unaweza kusababisha overdose na hata kifo.
Hayo ni machache sana ina mambo mengi sana na ni moja ya dawa ambayo haitakiwi kutumia ovyo ovyo
Kabisa mkuu, wakipuuziwa itakuwa hasara ya kujitakia kwa jambo ambalo linaweza kutatulikaKabisa Joseverest maana kama watarudi tena kule kule ni hatari sana.
Mfano wale wale waliokuwa wanatumia drugs kwa njia ya kujichoma ni hatari kupata magonjwa kama HIV,Homa ya Ini B na CC,Syphilis na magonjwa wengine yanayoambukizwa kwa njia ya damu.
Issue siyo kuwa hawataki kuacha madawa.Issue hapa na mabadiliko ya ghafla ya methadone kuhusu kuisha haraka mwilini na kupata withdrawal symptomsNafikiri kunakipindi inabidi hiyo dozi huwa inapunguzwa polepole na baadaye mgonjwa anaacha kabisa. Inawezekana hao wagonjwa wanataka kutumia methadone kama mbadala wa heroin na hawana nia ya dhati ya kuacha madawa.
Nafikiri kunakipindi inabidi hiyo dozi huwa inapunguzwa polepole na baadaye mgonjwa anaacha kabisa. Inawezekana hao wagonjwa wanataka kutumia methadone kama mbadala wa heroin na hawana nia ya dhati ya kuacha madawa.
Basi hapo tapering ya dozi haijafanyika kwa uangalifu.Issue siyo kuwa hawataki kuacha madawa.Issue hapa na mabadiliko ya ghafla ya methadone kuhusu kuisha haraka mwilini na kupata withdrawal symptoms
Wasiwasi wangu ni kuwa hicho ndicho kilichotokea baada ya matumizi ya muda mrefu ya dawa ya methadone. Sasa wanahitaji dose kubwa ili kufikia kupata afueni ya muda.Pole kwanza...matumizi ya muda mrefu dawa kama hizi tunazoziita Narcotic.. Opioid Kuna mengi sana ila machache..
Kwanza inaweza kukuzoea na isikusaidie ktk kupunguza maumivu kwa maana kuwa ikawa Tegemezi yaani Addicted.Hii inatokana na kila siku kuongea dose kidogo kidogo mwisho wa siku hata utumie vipi maumivu yapo ndiyo maana ikawa unaongeza dose kwasababu hizi narcotics zinaleta hali fulani ya Ku relax mind na kupungua maumivu ila ikiisha tu unataka ile ile na si nyingine na maximum ya dose kwa siku ni 400mg
Pili matumizi ya siku nyingi unaweza kutompa mtu mimba au kushika mimba kwa mwanamke kutoka na kusababisha infertility huzalishaji na kupevuka kwa mayai Kuna kuwa hafifu sana.
Na uliizoea sana unachanganya na narcotics zingine au hata pombe unaweza kusababisha overdose na hata kifo.
Hayo ni machache sana ina mambo mengi sana na ni moja ya dawa ambayo haitakiwi kutumia ovyo ovyo
Methadone wanaanza na dose ndogo mara nyingi kipimo cha 30 then wanapandishiwa mpaka mtumishi atakapokuwa hapati tena withdrawal symptoms.Wasiwasi wangu ni kuwa hicho ndicho kilichotokea baada ya matumizi ya muda mrefu ya dawa ya methadone. Sasa wanahitaji dose kubwa ili kufikia kupata afueni ya muda.