Malalamiko ya Rushwa kwa mkuu wa makadirio TRA Kigoma

DINGO RINGO

New Member
Jul 8, 2019
1
14
Muheshimiwa rais Magufuli sisi wafanyabiashara wanyonge wa mkoa wa kigoma tunaomba tuondolee hili balaa ulilotuletea huku kigoma huyu jamaa anaitwa mahunde ni mla rushwa mkubwa na ana upendeleo ukiwa huna hela basi ujue utakadiriwa kodi kubwa na wale wakadiriaji wakipeleka kodi halali anawalazimisha kutupa makodi makubwa kuliko mitaji yetu watu wengi sana wanafunga biashara huku na mkurugenzi mkuu wa tra hamfukuzi huyu jamaa tumefikisha malalamiko yetu sehemu mbalimbali lakini hakuna msahada kwasababu tunaanza kuchukia tra na kufikiria kukwepa kodi kwahio mapato ya serekali yanapotea kwaajili ya mtendaji mmoja mroho alimaarufu mahunde pia huyu bwana ana tabia ya kupita kila goli anakusanya hela na mali bila aibu na anatishia kwamba usipotoa hela hakutetei tafazali sana ndugu raisi na mkurugenzi mkui wa tra tuondoleeni huyu mtu hapa kigoma lasivyo hatulipi kodi asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamewekewa Target heavyweight pia.

Chukua Kitambulisho cha Magufuli ni Elfu 20 tu kwa mwaka,ingia zako mtaani.

dodge
 
Muheshimiwa rais Magufuli sisi wafanyabiashara wanyonge wa mkoa wa kigoma tunaomba tuondolee hili balaa ulilotuletea huku kigoma huyu jamaa anaitwa mahunde ni mla rushwa mkubwa na ana upendeleo ukiwa huna hela basi ujue utakadiriwa kodi kubwa na wale wakadiriaji wakipeleka kodi halali anawalazimisha kutupa makodi makubwa kuliko mitaji yetu watu wengi sana wanafunga biashara huku na mkurugenzi mkuu wa tra hamfukuzi huyu jamaa tumefikisha malalamiko yetu sehemu mbalimbali lakini hakuna msahada kwasababu tunaanza kuchukia tra na kufikiria kukwepa kodi kwahio mapato ya serekali yanapotea kwaajili ya mtendaji mmoja mroho alimaarufu mahunde pia huyu bwana ana tabia ya kupita kila goli anakusanya hela na mali bila aibu na anatishia kwamba usipotoa hela hakutetei tafazali sana ndugu raisi na mkurugenzi mkui wa tra tuondoleeni huyu mtu hapa kigoma lasivyo hatulipi kodi asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Hawa maafisa TRA na LESENI ya biashara WANAMHUJUMU RAISI.

Huku ukerewe watu wanafanya biashara na hawalipi Kodi na hawana leseni lakini wanawapita tu.

RAISI MAGUFULI TUMBUA HAWA WATU WANAKUHUJUMU..SIJUI nisemeje kudadadeki

Goite
 
Muheshimiwa rais Magufuli sisi wafanyabiashara wanyonge wa mkoa wa kigoma tunaomba tuondolee hili balaa ulilotuletea huku kigoma huyu jamaa anaitwa mahunde ni mla rushwa mkubwa na ana upendeleo ukiwa huna hela basi ujue utakadiriwa kodi kubwa na wale wakadiriaji wakipeleka kodi halali anawalazimisha kutupa makodi makubwa kuliko mitaji yetu watu wengi sana wanafunga biashara huku na mkurugenzi mkuu wa tra hamfukuzi huyu jamaa tumefikisha malalamiko yetu sehemu mbalimbali lakini hakuna msahada kwasababu tunaanza kuchukia tra na kufikiria kukwepa kodi kwahio mapato ya serekali yanapotea kwaajili ya mtendaji mmoja mroho alimaarufu mahunde pia huyu bwana ana tabia ya kupita kila goli anakusanya hela na mali bila aibu na anatishia kwamba usipotoa hela hakutetei tafazali sana ndugu raisi na mkurugenzi mkui wa tra tuondoleeni huyu mtu hapa kigoma lasivyo hatulipi kodi asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha majungu wasiliana na kamanda wa takukuru hapo mkoani au wilayani kama alivyofanya mwenzako wa dodoma baada ya kukutwa ameuza madirisha ya aluminium na kutoa risiti iliyokwisha kutumika na kutakiwa kutoa 1m. Ili asipogwe faini ya 4.5m. Achana na kumsumbua rais ameweka vyombo vyote karibu yako kenge mkubwa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unafikiri ni kigoma peke yake huku Mwanza pia kuna vijana kutwa wanawaza rushwa tu yani wao wanakupa makadilio ambayo huwezi ili mrudi mezani kuongea.

ukiwa na Efd unaambiwa hutoi risit
ukiwa huna unapigwa faini
yan ilimradi tu kisanga
tunapenda kutoa kodi kwa maendeleo ila sio kwa kuoneana na dawa yao ni kuwek tu majina yao hadharani na wakiomba rushwa sahv ni kuwashikisha maana sio kwa uonevu huo.

Sijui Rais au watu wake wa karibu hawapiti humu wakaona!!!

ARUSHA KWETU
 
Back
Top Bottom