tafakari kali
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 211
- 39
Hamna mtandao wa kuaminika ndugu, yote wizi wizi na chenga tu.Tigo ni wezi kabisa.
Serikali ipo inaangalia hivi vimitandao mchwala.
Leo wamenitumia 220 kama mkopo na kuniambia eti mtarejesha 250 nikiweka salio wakati hata sijaomba huo mkopo wao.
Hii nchi imejaa escrow kila kona.
Ila kuna siku haya yote yatakuwa historia maana wananchi wameshachoka.
Mtandao wenye kuaminika hapa tanzania ni airtel tu, hayo mengine ni uchafu tu.
Hapo itakuwa wanaccm wanatafuta mashiko wa kampeni.Naomba mods muiache hii, li itumike kusolicit maoni ya wananchi kuhusu huduma za Tigo. Mimi binafsi ni muhanga wa vitendo hivi vya wizi kupitia mtandao wa tigo..miezi miwili iliyopita sikunmoja niliweka vocha ya shilingi elfu 10 kupitia maxmalipo.
Hapo hapo baada ya vocha kuingia nikakatwa shilingi elfu tano, zikabaki elfu tano, nikaamua kuunfa kifurushi cha wiki. Kabla sijaoiga nikatumiwa meseji kwamva kifurushi changu kimeisha, nikapeleka lalamikoblangu oale Tigo ktk ofis zilizoko palm residency pale Ocean Road nikarecord malalamiko yangu, kwa bahati nzuri nina copy ta malalamiko hayo, lakini hadi leo hiyo pesa yangu haijawahi kurudi.
Naamini mauza uza haya ya kipuuzi na kijinai hayatukuta sisi peke yetu...mamilioni ya pesa yanaibwa kila siku kuputia mitandao ya dimu.
Ni wakati muafaka sasa kwa bunge kuingilia suala hili. Wasiwasi wangu, inawezekana kuna syndicate kubwa ambayo inawezekana inawahusisha wafanyakazi umma na mamlaka wanazifanyia kazi, wanasiasa nk. Ajbayo inafacilitate upigaji wa pesa kupitia mitandao.
tuliombe bunge lianzishe uchunguzi,,kinyume chake tunatengeneza utamaduni wa watu kufanya wizi tena mkubwa bila kuwajibika
Ndugu zangu wana JamiiForums,
Tarehe 27/11/2014 niliweka vocha ya sh 3500 kwenye simu na kisha kujiunga na kifurushi cha wiki cha 3500 lakini paka leo hawajanipa huduma hiyo nimewapigia mara 2 wakiniambia subiri kidogo wanakata simu baada ya hapo napiga simu nasubiliwa kuunganishwa kwa muda wa dk 19 na sek 38 na bila kuunganishwae.
Nahisi hawa jamaa wa Tigo kuna kamchezo wanacheza kawizi wizi, nilishawahi kusikia tabia yao hii kwa mtu mwingine sasa imenitokea mwenyewe, sisemi muache kutumia tigo la hasha ila Nawashahuri wadau kuweni makini na mtandao huu. Hii pesa lazima warudishe hata kama itanigharimu zaidi.
Kila tu na evel yake, acha sisi tunaoibiwa tulalamike, 2000 ni nyingimmeshindwa kukomaa kuhusu mabilioni ya escrow mnakuja kudai elfu 3000 kama vipi mpigie simu ruge au chenge akupunguzie.tuanze na ishu kubwakubwa hawa wadogo tutawamudu wats 3500 mbele ya 306 bilioni