Wadau wanao tumia king’amuzi cha continental ambacho kinamilikiwa na sahara (mzee Dialo) nitoe malalamiko yangu kwa kupuuzwa leo siku ya tano tangia mtoke hewani na hamna maelezo yakinifu kwa jambo hili.
Mnatunyima sana habari na jambo hili limeonesha udhaifu katika nyanja ya mawasiliano pia hamtuthamini wateja wenu.
Niombe mtengeneze kwa haraka sana mitambo yenu.
Wasalamu
Ushawahi kua nacho tupe uzoefu kipoje hiki kakaHivi kumbe hichi king'amuzi bado kipo?
Haaaa sasa kipi bora chenye local Chanel tununue?Kuna muda wanapotea hata mwezi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ahsante,nikajua nawe unacho hicho kisimbuzi utupe uzoefuMkuu mi natumia dstv lkn local channel hakuna huku,il wanasema star times ndo local channels zipo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Star times ni kwa wale wenye antenna tu,Mkuu mi natumia dstv lkn local channel hakuna huku,il wanasema star times ndo local channels zipo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu visimbuzi vyenye leseni za Chanel za ndani ni continental,star times, digtek na ting, hizo ndio free ziko tanoUtakua hujalipia wewe.
kwa sasa TB-C wamefungiwa kote isipokua azam tu,
Yaan startimes(dish), zuku,dstv na continental nao wameifungia.
Jiwe kamwaga mboga, Nao wamemwaga ugali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Star times ni kwa wale wenye antenna tu,
Wanaotumia dish wote wameifunga.
Nmewapigia,
wakasema ili uweze kupata local channel
Ni lazima mteja alipie ada ya 44,000 kwa mwaka kutizama local channel bure.
Vinginevyo lipia vifurushi kama kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakua hujalipia wewe.
kwa sasa TB-C wamefungiwa kote isipokua azam tu,
Yaan startimes(dish), zuku,dstv na continental nao wameifungia.
Jiwe kamwaga mboga, Nao wamemwaga ugali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Star times ni kwa wale wenye antenna tu,
Wanaotumia dish wote wameifunga.
Nmewapigia,
wakasema ili uweze kupata local channel
Ni lazima mteja alipie ada ya 44,000 kwa mwaka kutizama local channel bure.
Vinginevyo lipia vifurushi kama kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishawahi kua nacho mwanzoni,ni cha kipuuzi tu.
Kuna kipindi mwezi mzima na zaidi channels zimekata ukiuliza eti satellite imepotea huko juu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hilo la satellite ni kweli ilipotea wakahamia kwingine,nachotaka nijue kwa sasa kiko vizuri au laa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi tumia ila nakifahamu