johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,874
Yaani hao wenzetu huwa wanagoma kununua vocha?!!!unatekelezeka kwa wenzetu. ila hapa kwetu wabongo hawana guts za kufanya hiyo kitu
Yaani hao wenzetu huwa wanagoma kununua vocha?!!!unatekelezeka kwa wenzetu. ila hapa kwetu wabongo hawana guts za kufanya hiyo kitu
Internet ya mwanafunzi wala sio gharama, kudownload PDF hakuna gharama.watambue kuwa na wanafunzi wanatumia internet pia na kuna watu wanatumia kibiashara.
nashauri watu wahamie freebasics kwa muda
labda watafanya mabadiliko.
Utaponunua mbs kwa gharama kubwa itakupunguzia kufanya ujinga mitandaoni.Ina maana wajinga hawana pesa ya kununua vocha?
vipi kuhusu wanafunzi wa chini na wa juu wanaotegemea mitandao kusomea nao ni wajinga?
Una uwezo mdogo sana. Unapimaje ujinga wa mtu kwa kigezo cha yeye kuingia mtandaoni..?Wewe Anza, usiingie kabisa humu jf. Ni lazima mwaka huu wajinga wapungue mitandaoni
Mama Samia shikilia hapohapo
Basi hakuna kulialiaMtu yupo tayari ashinde njaa ila aweke vocha. Maisha tu yatakuwa magumu lkn mitandaoni watu wataingia Kama kawaida
Huoni Kama humu mitandaoni Kuna wajinga wengi sana?unauwezo mdogo sana. Unapimaje ujinga wa mtu kwa kigezo cha yeye kuingia mtandaoni..?
Hahahahaha nimekubali babaSmart4n bila vocha ni kama masai bila rungu.
angekuwepo hayati jiwe angetukanwa kila Aina ya tusi, Sasa hivi chumvi imemwagikia kidondaniInternet ya mwanafunzi wala sio gharama, kudownload PDF hakuna gharama.
Mama Samia shikilia hapo hapo
They aren't cowards but muthaphuckin snitch ass pussies! Mnakubaliana for the strike but some fools will still recharge and access the services regardless of the sucking package prices. And will still act like they with you.If you wanna meet cowards then visit Tanzania you will be surprised .
Sina shaka na wewe kuwa mmoja wao maana ume hara marage mazima mazimaHuoni Kama humu mitandaoni Kuna wajinga wengi sana?
Freemode ndo ipojeNapata jf Kwa freemode inatosha sikumbuki Mara ya mwisho kuweka vocha lini
Unaipata vipi?
Wapi huko?NChi za wenzetu bundle ni bei ghali ukilinganisha na sisi.
Ni rahisi kwa ambao mko extra busy ila kwa ambao tuna muda wa kuflex ni ngumu😁 im so fuxin addicted with the internet and it eat most of my idle time throughout the dayKatika Uchumi tumefyndishwa kwambq kqtika sokonhuria bei hupqtikqnq pqle demand inapokutana na supply.
Usiponunua bundle unaondoa demand.
Unaishusha bei chini.
Naunga mkono hoja kwa wote ambao wataweza.