Mbona kama hawa walikuwa kwenye lory
Panaitwa Uvinza! Labda wabadilishe hili jinaHivi Kigoma ni Tz au nje ya nchi?
Soon Zitto Kabwe na Dr Mpango watakujibu.Hivi Kigoma ni Tz au nje ya nchi?
SSH kwa sura yake itakuwa ndoto kumuona Kigoma tena kwa kupitia hii barabara
Duu,safari za Kigoma ni risk sawa na zile safari za kuzamia meli.lolote linaweza kutokea popote.Hofu kama hizo huwezi zipata ukiwa unasafi kuelekeaKwenye BASI, mwingine uyuView attachment 1799467![]()
Ni kweli huko mkeka bado haujafika?
Wenzangu Wote Mmewapa Miaka 10 Mimi Ndiyo Mninyime Kweli?😅😄😃😂😁😀😆😅Tumejenga mabarabara nchi nzima harafu muninyime kura? Those days
Zabayanga Anasimamia Show Sasa Hivi UtafikaNi kweli huko mkeka bado haujafika?
JK alijitahidi sana kujenga barabara kuu nchi nzima