Lakini mwisho alikubali kujengewa nyumba , siyo ?
By the way, to the best of my information, hiyo mansion aliyoibeza kwa kusema "nyumba kubwa kwani mimi tembo" ndiyo hiyo hiyo aliyojengewa na jeshi, hakuwakataza kujenga. Nyerere is a contradiction.
Kiranga,Lakini mwisho alikubali kujengewa nyumba , siyo ?
By the way, to the best of my information, hiyo mansion aliyoibeza kwa kusema "nyumba kubwa kwani mimi tembo" ndiyo hiyo hiyo aliyojengewa na jeshi, hakuwakataza kujenga. Nyerere is a contradiction.
Mods, what's wrong with your setting options?Lakini mwisho alikubali kujengewa nyumba , siyo ?
By the way, to the best of my information, hiyo mansion aliyoibeza kwa kusema "nyumba kubwa kwani mimi tembo" ndiyo hiyo hiyo aliyojengewa na jeshi, hakuwakataza kujenga. Nyerere is a contradiction.
Mwanamayu umepatia Mkulu amefuzu kwenye kutembeza bakuli, anaamini katika misaada na madesa tu!
International begger begging from the Super Power
Mods, what's wrong with your setting options?
Kuna watu wako kwenye "ignore list" yangu lakini mbona bado naona mabandiko yao??
Please mods....
Lakini mwisho alikubali kujengewa nyumba , siyo ?
By the way, to the best of my information, hiyo mansion aliyoibeza kwa kusema "nyumba kubwa kwani mimi tembo" ndiyo hiyo hiyo aliyojengewa na jeshi, hakuwakataza kujenga. Nyerere is a contradiction.
International begger begging from the Super Power
Mwanamayu umepatia Mkulu amefuzu kwenye kutembeza bakuli, anaamini katika misaada na madesa tu!
Umemamliza kaka....... usimnase makofi huyo...hii elimu uliyompa ni vibao tosha kabisa......mfano mwingine ni Marehemu Kawawa...Linganisha sehemu ambayo umauti ulimkuta na nyumba za Lowasa........Wewe Kiranga hamnazo kabisa, zamani nilidhani una akili kumbe huna tofauti na MS... Unapomzungumzia nyerere unamzungumzia kiongozi ambaye hakuwahi kuishi ikulu, aliifanya ikulu ofisi tuu ya kwenda na kurudi.
Nyerere alijenga nyumba yake ndogo msasani kwa kukopa benki ya nyumba na alishiriki kuijenga na ilikuwa nyumba ya kawaida
Nyerere alikuwa akizidiwa mishahara na Gavana wa BOT, Mkuu wa Majeshi na Jaji Mkuu
Nyerere alikuwa na busara, alipostaafu alikwenda butiama kulima, Unapozungumzia nyumba ya kujengewa na JKT wakati amestaafu jiulize kwa nini hakuchota mapesa kama akina Chenge na kujenga? hata unayoita palace kumbuka ni jumba la makumbusho kwa ajili ya vizazi
Pale msasani mafisadi wamesubiri afe na sasa wamemjengea jumba kubwa wakati amekufa maana ile nyumba yake pale msasani ilikuwa mfano wa kukompare viongozi wa sasa na Nyerere lakini wameamua kufuta ushahidi, kila nikipita pale nikiangalia huwa nasikia uchungu sana maana wameondoa kumbukumbu ya Taifa hili.
Nyerere unayemzungumzia kama wewe ni muislamu msomi basi kumbuka kuwa ndiye kiongozi ambaye baada ya nchi kupata uhuru na kugundua kuwa shule karibu zote zilikuwa ni za seminari aliamua kupitisha sheria ya shule hizo kupokea watu bila kuangalia dini zao, lakini alienda mbali zaidi baada ya kuzitaifisha na kuziweka chini ya serekali, leo Serekali yako inaomba misikiti na makanisa yajenge shule na matokeo yake ni kwamba makanisa yanajenga shule bora na maradufu ya misikiti, sisi waislamu lile pengo ambalo nyerere alilimaliza linarudi.
kinachoniuma mimi kama muislamu ni kwamba anayeruhusu mpasuko huu ni Rais mwislamu anachekacheka na maaskofu na kuwaomba wajenge shule kila kukicha wkati Nyerere alitaifisha shule za makanisa kama hiyo ya Forodhani na Mkwawa ambayo sasa ni huo kikuu
Siku nyingine ukithubutu kumsema vibaya Nyerere ntakutafuta nikuchape makonde labda ubongo wako utazibuka na kuwa na akili ya kuchambua mambo
msg. sent
If u question nyerere's integrity and honesty,u must have personal problem with him or u need to be rushed to the mental institution...nyerere could have looted all the money from the central bank if hwe wanted to..but he didnt,he was a true socialist
Kiranga, what about you? By the way all the outstanding leaders in this world at some points were termed contradictory...well, the brave and outstanding Mwalmu is no longer with us.
Sasa hawa viongozi tunaowaonea sifa kwamba ni watu wa watu na wasio na contradiction zozote wanaisaidia nini Tanzania? Kuleta huu udini, siasa za chuki na kikabila na kugawana mali za Taifa kwao na kwa familia zao. Sifa yao ni kufanya kazi na mafisadi?
Oooh no! Mwalimu Nyerere was a great man. Namsifu Makwaia wa Kuhenga kwa kutokubali kuwa mnafiki maana yeye amewahi kufanya kazi karibu naye anamfahamu fika. Nyinyi mnaotaka kutueleza story mnazopigiana kwenye kahawa kuhusu ubaya wa mwalimu nawapeni pole tu!
Mkuu Mwalimu was no saint. Lakini yale tunayoyaita mabaya ya mwalimu ukiangalia kwa undani aliyafanya kutokana na kuipenda nchi yake. Mabaya yake yliangalia manufaa ya Tanzania japokuwa wakati miwngine hayakuinifaisha Tanzania. So still he is by far better, greater than many of us thought. Ni binadamu aliyekuwa na personal weaknesses lakini personal weaknesses hazikuingia utawala wa nchi, ni tofauti sana na sasa. JKN alikuwa tayari kuwatosa rafiki zake kwa kuvuruga mambo ya taifa, not now. Haingii akili kuona mtu anasemwa kuwa mwizi na ushahidi upo, halafu unampigia kampeni kuwa ni mtu safi. JKN would never do that.
You are right and i agree with you. But what about ufisadi, ushkaji na uswahili, can you weigh the two?Ujamaa sucks period.