Makutano Lumumba na Uhuru kariakoo, Dar Traffic Light Huongeza Msongamano wa magari

Silicon Valley

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
1,092
1,116
Kwenye makutano ya barabara hizo mbili Lumumba na Uhuru mnazi mmoja karaikoo Dar, kama taa zikizima magari yanapita vizuri sana

Lakini pale tu taa zinapowaka au kufanya kazi msongamano mkubwa wa magari hutokea kote, na hii kusababisha barabara za jirani nazo kujaa magari sbb ya kukwepa kupita hapo kama Uhuru na Livingstone hujaa livngstone yoote hujaa,
Pia kutokea bibi titi na uhuru kuja lumumba hujaa na kuziba.

Ushauri wangu hizi taa za uhuru/lumumba Zizimwe permanently

Naiomba wadau wahusika kufatilia naamini muta prove ninachokisema.
OKOA MUDA NI RASILIMALI MUHIMU SANA NA MAFUTA PIA
 
Back
Top Bottom