MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,476
Hawa nikuwazibia macho na masikiokama mtaendelea kuwa na fikra za kusaidiwa kamwe hautaendelea na maendeleo hayaji kama chafya.kumbuka mtegemea cha nduguye hufa maskini
Hawa nikuwazibia macho na masikiokama mtaendelea kuwa na fikra za kusaidiwa kamwe hautaendelea na maendeleo hayaji kama chafya.kumbuka mtegemea cha nduguye hufa maskini
Nishule ipi iliyo pelekewa 140000Mkuu hapa naomba ufafanuzi zaidi. Hizo pesa Tshs. 140,000/= ni matumizi ya mwezi na ni lazima zitumike, hivi Mkuu wa shule ataiba Shs. ngapi katika hizo? Umesema hizo pesa zitatimia kwa vipi na mahitaji ni ya kila mwezi?.
Itakuwa Poa sanaMagufuli atafikisha trillion 3 na zaidi..kama kwa mda mfupi ameweza kuongeza zaidi ya billion 500
BadoHivi ile gesi ya kinyelezi tuliyoambiwa uchaguzi wa mwaka jana ukiisha mgao wa umeme utakuwa histolia vipi Haujaanza kazi?
Hebu muacheni rais wetu mstaafHalafu kila akisikia makusanyo ni mabilioni basi anawashwa safari ili akazitumbue ulaya na usa yeye na maswahiba wake. Chezea mkwere wewe.
Nakuunga mkono nduguNi kweli TZ ni tajiri sana.Kwa jinsi tunavyokwenda kwenye makusanyo nadhani ingekuwa busara tukajiwekea lengo la Trill.2.5 ili jamaa wasilale.Na lengo hili naamini linawezekana.Uvujaji wa mapato ulikuwa mkubwa mno.
Hahaha UmepanicHao unaowaita nyumbu ndio wenye kazi nzuri kutokana na kisomo chao hivyo mishahara yao ni mikubwa na wanalipa kodi kubwa. Wengine wao ni wafanyabiashara wazuri sana kwa vile wanaakili hivyo wanalipa kodi kubwa sana na makusanyo yanaonekana.
Sasa wewe kuna kila dalili kuwa huna mchango wowote katika kuchangia mapato ya nchi hii na ni bora afugaye mbuzi anaweza kumkamua maziwa kuliko hasara ya kuwa na raia wa aina yako.
Nadhani kuna tatizo kubwa sana when it comes to usahihi wa taarifa. Mimi nilisikiliza taarifa ya habari na kuwasikia hao mabwana wa TRA wakidai kuwa lengo la makusanyo ya January 2016 ilikuwa ni shilingi trilioni moja na bilioni 45. Mpaka jana walikuwa wamekusanya trilioni moja na bilioni 31, na kwamba kufikia Jumatatu wanategemea kuvuka hilo lengo walilojiwekea.POROJO TUPU!
Sio ku panic, bali huyo jamaa eti kwa akili yake anaona makusanyo kuwa makubwa ni kama kuwakomoa wapinzani. Utadhani hao wapinzani wanachangia kodi zao kwa serikali ya Msumbiji.Hahaha Umepanic
Katika hizo, ni kiasi gani zilikuwa kwa safari zake na ufisadi wa mchana kweupe?Jakaya wakati anaingia Madarakani Serikali ilikuwa inakusana 170Bilioni.... Akaongeza hadi kufikia 900Bilioni.
Unazani wana maana basi! Zaidi ya ushabiki tu!Wameishi kwa kupinga kila jambo