Makundi ya kumsafisa RC Dar!

mleta mada ni kati ya lile kundi la wauza madawa ya kulevya.
 
Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako??

maelfu ya wafanyakazi wenye vyeti feki walipoondolewa makazini tulifaidika nini? au kitu gani kilibadilika kwenye maisha yetu?
 
Watu wengine wa ajabu kweli. Unawashangaa wanaomtetea Makonda, lakini huwashangai wanaomchamfua. Tutaendelea kumsafisha kadri mnavyomchafua.
HATUCHOKI!!!
 
Akiondolewa kwenye cheo chake ataajiliwa mwingine mwenye qualification elewa elewa bita iliyopo no us watumishi hewa no watumishi hewa ni hao wanaogushi/wanaotumia vyeti visivyo vyao.Kwa hiyo wanatakiwa wafanyakazi wenye vigezo.
 
kuna aliyemchafua bashite au kajichafua mwenyewe, kwanza alikuwa mchafu tayari sema hatukujua

BASHITE MUST GO
 
Mwaka sasa maMvi nzi wanamfuata. Kwaujumla hata kipite kizazi hiki maMvi hatosahaulika kwa ufisadi.
 
Hakuna ujinga mkubwa kama kumsafisha maMvi, atakama umeoma na unavyeti ukajaza na makabati.
 
Sasa hivi hawaruhusiwi kuandika chochote kuhusu Makonda kwa hiyo hata akiwanyoosha wataugulia maumivu kimya kimya.


Makonda wanyoooooshe vizuri sasa
 
Aaaaah umeandika makundi mengiiii lakin hapo kiboko japo hukuliandika ni UKAWA PEKEE NDIO KIBOKO YAO
 
Inategemea Mkuu. ! Sio Rahisi kihivyooo
 
Jibu la kizushi

Akikàa pale na vyeti vya Mtu wewe unafaidika nini?
 
Kazi tunafanya na kodi tunalipa hamna mtu alishakuja kuomba chakula kwako hapa cha msingi ni VYETI VIWEPO MEZANI TU , jua kuwa huu mchezo hauhitaji hasira mwambie aweke maganda mezani aendelee na URC wake hata akitaka URAIS atapewa
Ili iweje?
 
Tumia akili kidogo je ni wauza unga ndio
Waliotuma Ku forge chetu
Walimtuma kuandaa uongo kwa Gwajima
Walimtuma kuhongwa magari na watuhumiwa wa ngada
Walomtumia kuendesha uvamizi Clouds
Acha utoto
 
Tumia akili kidogo je ni wauza unga ndio
Waliotuma Ku forge chetu
Walimtuma kuandaa uongo kwa Gwajima
Walimtuma kuhongwa magari na watuhumiwa wa ngada
Walomtumia kuendesha uvamizi Clouds
Acha utoto
Sahihisha kwanza hapo una haraka sana - Inawezekana una sifa zote za kukurupuka
Gwajima ana matatizo ya akili (Psychiatric case) - Huwa sifuatilii wagonjwa akili kwenye mambo muhimu - hili futa
Una uthibitisho wa hayo magari na kuhusu cheti ? Ama unavisoma tu kwenye social media
Unapaswa kutoa tafsiri sahihi ya neno UVAMIZI - Mnatumia maneno mazito kutaka kushtua watu, RC alishakuwa hapo cloud FM mara nyingi sana hata wakati mwingine anashinda mpaka usiku wa manane
 
Lowasa alijisafisha baada ya kujiuzulu mwambien ndugu yenu nae ajiuzulu atasafishika

Mkuu naona hujielewi wala huelewi, na wewe si hata wa kueleweshwa. Basi kaa na ukihiyo wako
 
They are fighting an already lost battle,it's too late.
 
Hivi kazi inayompatia hela ya kula huyu mchumia tumbo aitwaye Le Mutuz ni ipi , mbona anatumikishwa kirahisi sana ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…