kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,876
Aisee namuonea mkeo huruma sana, maana kaolewa na mtu wa bure kabisa yaani zeeero brain.AWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.
Swali za kizushi
Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???
TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
WEWE KILAZA MCHUMIA TUMBO KAZI UNAYOFANYA KUMSAFISHA BASHITE NI SAWA NA KAZI KUKAUSHA BAHARI KAMWE HATASAFISHIKA AMEGANDA UKURUTU!!!!Wewe na wenzako mlilipwa kazi ya kumsafisha Fisadi maMvi na mmeshindwa. Makonda makosa aliyofanya hayawezi kukaa muda mrefu yakiongelewa kwakuwa hayana msingi.
Msingi wake upo katika vita dhidi ya madawa ya kulevya. kwahiyo kazi za Makonda zinamsafisha jinalake. Ila kwa maMvi kazi mliyopewa nisawa na kuupakarangi mlima wa Kilimanjaro kwa kutumia brashi.
mtahangaika na Makinda kwa sikumbilitu. lakini mtahangaika na maMvi mbaka atakapo pumzika siasa.
Lowasa alijisafisha baada ya kujiuzulu mwambien ndugu yenu nae ajiuzulu atasafishikaMbona Lowassa alisafishika !! Haaa haas
Mwenye ziro hapatagi cheti we ulisoma wapi tuna wasiwasi na wewe kwa faida yako gwajima aliprint matokeo mwenye ziro cheti hawez kuwa nachoHuu nao ni umbea tuu, kuvamia maana yake nn? Gwajima alionyesha cheti, je kile ndicho cheti kweli? kama mtu alipata ziro kuanzia lini Necta wakatoa cheti cha mtu aliyefeli? huu ni upunguani.
huyo hatumtakiii ccm wenyewe hawamtakiKundi pekee linaloweza kumsafisha Daud Albert BASHITE akatakata kabisa ni MAKAMANDA a.k.a pipooooozzzz!!! powerrrr! wale hawashindwi kitu. Akitaka kuwa safi ahamie huko then akiona mambo yamekaa sawa arudi kwa baba yake... otherwise hata steel wire haimtoi huo ukurutu!
Hiki pia ni chombo cha habari hivyo huyo nyoka haruhusiwi hukuB.A.S.H.I.T.E limeshakuwa jina haramu JF? naona ukiliandika zinatokea nyota tu ***********.
swali la kipumbavu kabisa kuwahi kuulizwa dunianiAWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.
Swali za kizushi
Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???
TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
AWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?

Swali kwako :Hivi hawa watumishi wengine walioondolewa kazini kisa vyeti feki wewe ulifaidika nini hasa!?AWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.
Swali za kizushi
Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???
TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
Kama Gwajima alitoa cheti feki, mimi nadhani kazi ni ndogo sana tu, YAANI KUMSHTAKI coz ni kosa kisheria.!Mwenye ziro hapatagi cheti we ulisoma wapi tuna wasiwasi na wewe kwa faida yako gwajima aliprint matokeo mwenye ziro cheti hawez kuwa nacho
Wewe na wenzako mlilipwa kazi ya kumsafisha Fisadi maMvi na mmeshindwa. Makonda makosa aliyofanya hayawezi kukaa muda mrefu yakiongelewa kwakuwa hayana msingi.
Msingi wake upo katika vita dhidi ya madawa ya kulevya. kwahiyo kazi za Makonda zinamsafisha jinalake. Ila kwa maMvi kazi mliyopewa nisawa na kuupakarangi mlima wa Kilimanjaro kwa kutumia brashi.
mtahangaika na Makinda kwa sikumbilitu. lakini mtahangaika na maMvi mbaka atakapo pumzika siasa.
Kwamaana hiyo wewe unampinga Magufuli kuwa ile tume yake faifai hata kidogo? Makonda ni zaidi ya ile tume ya mheshimiwa Rais!?Wakati fulani...UKAWA walisema tatizo ni mfumo wa CCM ndiyo unakwamisha maendeleo ya nchi hivyo waungane wauondoe mfumo huo madarakani ili waweke nchi sawa. Na wakasisitiza wako tayari kushirikiana na yeyote kuondoa mfumo huo, maana walisema tatizo siyo watu bali ni mfumo. Ni kweli walitekeleza azma yao ingawa walikosea mahali. Bahati.....hawakuweza kuchukua madaraka.
------------------------
Na sisi watanzania tuwaige wanaukawa ila tusikosee mahali kama wao...Adui yetu mkubwa kwa sasa (mbali na maradhi, umasiki, ujinga) ni Matumizi ya madawa(sumu) za kulevya. sumu hizi zinaua kizazi chetu cha sasa na vijavyo. Kwa sasa tusichague silaha ama mtu wa kushirikiana naye ili mradi silaha ama mtu huyo ina/anafaa katika mkakati wa kushida vita hiyo. Paul Makonda ni asset kwenye vita hivi, tumtumie kushinda vita dhidi ya madawa ya kulevya.
Wale walio tumbuliwa kwa ajili ya vyet na ukashangilia ulifaidika nn au we ndo uliwaajirAWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.
Swali za kizushi
Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???
TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
Huyo ni yule aliyetoa shukrani zake za dhati kwa Magufuli kwa kuwaletea watu wa Mbeya tukio la kupatwa kwa mwezi!Hivi hizi sentensi zinatoka kwa kijana mwenye akili ya at least form 4? I dought. Hope darasa la pili> kwa ujinga huu, hatuwezi kutoka hapa tulipo. Kunapokuwa na kosa mtu kafanya, sema hili ni kosa sio kuteyea ujinga mkuu. Hakuna individual anayefaidika katika hili zaidi ya watanzania wote. Failures mnaturudisha nyuma sana sisi wazalendo.
Isome post yangu taratibu. Ndipo utanielewa.Kwamaana hiyo wewe unampinga Magufuli kuwa ile tume yake faifai hata kidogo? Makonda ni zaidi ya ile tume ya mheshimiwa Rais!?
Kazi tunafanya na kodi tunalipa hamna mtu alishakuja kuomba chakula kwako hapa cha msingi ni VYETI VIWEPO MEZANI TU , jua kuwa huu mchezo hauhitaji hasira mwambie aweke maganda mezani aendelee na URC wake hata akitaka URAIS atapewa