Makumbusho ya taifa. Walipopigiwa simu.

Makumbusho ya taifa. Walipopigiwa simu.

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,306
Reaction score
3,413
Jamaa anapiga simu ofisi ya Makumbusho ya Taifa: "Haloo, hapo ni Makumbusho ya Taifa?"
OFISI: "Ndio, tukusaidie nini?" JAMAA: "Ok, naomba mnikumbushe mwaka jana mpenzi yupi nilikuwa naye valentine day ?"
OFISI: "-------! Hiyo sio kazi yetu..!" JAMAA: "Sasa makumbusho mnakumbusha nini?" HAPPY VALENTINE'S DAY
 
OFISI kwa kweli hawajui majukumu yao ya kuhifadhi data
 
Back
Top Bottom