Makufuli yamezagaa chumba kizama

Makufuli yamezagaa chumba kizama

madala mujipa

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,421
Reaction score
864
jumapili njema

Binaadamu wameumbwa tofauti kuna dada hapa mtaani huwa namchukua yeye na mtoto wake kwa usafiri wangu wa bajaji amepanga chumba kimoja,sasa ni kawaida asubuhi muda mwingine huingia pale chumbani kumsubiria amtayarishe mtoto ila kinachokera ni tabia ya yule dada chupi zake alizozivaa(chafu)na safi kuzagaa chumba kizima na wala hajali akiona umeingia ndio atajitia kuzikusanya na kuzitia kwenye kitenga lakini bado vibendera vingine vinabaki kuning'inia

Inakera kwa kweli kumwambia nashindwa na ni mkubwa na heshima zake!
 
mods saidieni kurekebisha bandiko nilikusudia kuandika kizima!
 
Wapo wanaorundika chupi chafu hata wiki mbili kisingizio wataloweka pamoja wazifue mwisho wa wiki.

Huyo ni mfano wa baadhi ya wanawake wachafu wasiojali usafi wa nguo za ndani tena utakuta anarudia kuzivaa bila kufua
 
we ni mmbea mkuu, mwanaume unaanzaje kuskia harufu ya chupi za mwanamke?
 
Ulitakiwa ukaushe, au umwambie kama kweli unakereka na tabia hiyo...unaweza fanya hivi kesho ukienda kamata chupi moja futia viatu vyako hakikisha anakuona.
 
Kila ukiingia na kuzikuta zimezagaa... Zikusanye zote sehemu mmoja... Atajiskia aibu na kujirekebisha...


Cc: mahondaw
 
Nimekuja kasi kwakujua makufuli yamlangoni kumbe makufuli yasirini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom