Makubwa kumbe chabo bado zipo aka"DEO""

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,334
Reaction score
38,698
Mhh Jioni nimepita sehemu wapendwa

kuna jamaa yetu mmoja kachukua ka lodge pale sinza ..akawa ameletewa kitu leo frm hme nikamchukulia airport

hamad nafika nakuta wazee watatu wameinama mwisho wa chumba wakichungulia watu


nikamtania mhusika mna mradi mwingine nini ukiache huu jamani ..nilijua mnahifadhi wageni kumbe kuna kuchunguliwa

angalieni msimchungulie kaka yanhu...ndipo mmoja akafunguka yaani walewatu ni wakubwa tu ..unasemea hiyo kuna

wakurugenzi wawili wanakuja mida ya saa saba mpaka kumi ..wao wakiingia na mwanamke waanamwacha nje wanatafuta chumba chenye kuweza kupiga chabo ikisimama ndio wanarudi kwa mwanamke wake

huyo unaemwangalia anakomaa na dirisha la watu ni mzee.....XXXX

loh niliogopa hata kuamini kumwona ni kweli ...akasema hao cha mtoto weekend bosi wa shell kubwa fulani unaifahamu ndio yeye huja na binti na mwanaume alafu anaingia chumbani wote na jamaa na mwanamke

yeye afanyi chochote ila anamlipa yule demu na yule jamaa furaha yake amwone akiwa anamfanya kitu mbaya

yule dadaa

Loh nilijua ni ka gonjwa cha chuo kikuu Mlimani kumbe uraiani nacho kipo...hiyo cha mtoto akanimalizia

Kuna mtoto wa mbunge mmoja yeye akija saa nane anachungulia mpakasakumi asb...na akimpenda demu

anamlipaa anamtafuta mtu kwa nje anaingia nae anamshugulikia jamaa ndio jamaa anaziamsha anampanda demu

aisee tumwombe Mungu sana kwa kweli hawa watoto wetu na baba zetu

Nilijua wanachelewa labda wako kwenye Pombe kumbe wanakula chabo watu wakishugulikiwa

Loh ..chuo kikuu mlimani ilikuwa na jina ""DEO""YAANI MTU ANATOKA ANASIKIA KISHINDO KAMA MTI UMEANGUKA

akitoka anakuta watu wanaingia vyumbani anawauliza jamani hata mie mnanipiga DEO LEO??
 
hiyo lodge ipo mtaa gani namie umenipa kiu hapa....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…