makubaliano

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
Polisi alimkuta jamaa flani akifanya mapenzi na dada alìyekua amekufa.polisi akamwuliza anafanya nini,jamaa akajibu, "tulikua na makubaliano miaka tatu iliyopita."polisi akauliza, "unamaanisha nini?"jamaa akajibu, "miaka tatu iliyopita,nilimwambia tufanye mapenzi akanijibu, OVER MY DEAD BODY!"
 
Huyu jamaa hajapelekwa na huyo polis mabwepande kweli, hebu fuatilieni asijeng'olewa meno na kucha bila ganzi
 
Back
Top Bottom